Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Mfungo mzee baba, kila nikijaribu kuandika mchana macho yote yanaingia ukungu wa njaa.Mkuu tajiri huna baya. Story imeisha au bado?
Eti Warembo!Vilaza ndiyo nini mkuu?
Dawa Yenu Wewe Na Huyo Mwenzio Ni kamba Za miguu Na mikono Tia Kwenye Ambulance Dodoma.
ππHuna baya tajiri, ukiendelea unitagMfungo mzee baba, kila nikijaribu kuandika mchana macho yote yanaingia ukungu wa njaa.
Usiku ndiyo kama hivi nimeshashiba futari siwazi tena kuandika vitu vya kiakili zaidi nawaza kusumbuwana na raia tu kama unavyoona.
Poa nitafanya hivyo nahisi ni sehemu tatu tu ndiyo zimebaki.ππHuna baya tajiri, ukiendelea unitag
Yaani mtoto Lamomy aneshanichanganya.Basi unaweza kunipa njia ambayo itakuthibitishia mimi siyo genta (kama itanipendeza)
Muulize Mwenzio Anapajua.Dodoma kufanya nini
Tajiri.Poa nitafanya hivyo nahisi ni sehemu tatu tu ndiyo zimebaki.
Sawa mkuu ila kwanza hela unayo? Kama haipo tusijisumbue kupoteza muda.Yaani mtoto Lamomy aneshanichanganya.
Naomba waombe mods wa-idit title isomeke secretarybird, Tajiri Sinabay na GENTAMYCINE ndo watu peke wenye akili hapa JF.
Lengo ni kumfanya mtoto mkali Lamomy anikubalie Kwa kudhani kuwa nina akili kumbe hola.
Kwahiyo ashakuwa mwenzangu au siyo!Muulize Mwenzio Anapajua.
Na Safari hii Atopata nafasi ya kutoroka.
Nitampatia mautamu yasiyo na kipimo, kuhusu hela tutaangalia baadaye.Sawa mkuu ila kwanza hela unayo? Kama haipo tusijisumbue kupoteza muda.
Wameunga. sema hawana baya maana nahisi kuna jambo fulani linakuja mbele yangu maana jioni nimeweka uzi umefutwa.Imekuwaje nyuzi imeungwanisha au title wamechange?
Uchawi unawapata. Watu wenye njaa tu, uchawi haumpati mtu mwenye hela kama mimi.π π π Inabidi tuanze msako wa kutafuta wanachama wenye ujuzi wa invisible force wafanye kazi yao
Jibu lake nalisubiri Kwa hamu na gamu kama fisi asubirivyo mkono wa binadamu kudondokaLamomy unasemaje kwenye hili?
π€£π€£π€£π€£ uzuri umepata mpambe Tajiri.Jibu lake nalisubiri Kwa hamu na gamu kama fisi asubirivyo mkono wa binadamu kudondoka