Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Mfungo mzee baba, kila nikijaribu kuandika mchana macho yote yanaingia ukungu wa njaa.Mkuu tajiri huna baya. Story imeisha au bado?
Usiku ndiyo kama hivi nimeshashiba futari siwazi tena kuandika vitu vya kiakili zaidi nawaza kusumbuwana na raia tu kama unavyoona.