Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Tupo pamoja shemeji πSwadaktaaaa!! Ndo napo kukubalii mejii ake.
πππππ
Ukute ameishiwa pawa huko maana haya mahaba ndugu yangu ni mgeni nayo πππππππππ em akujee SK wangu, nimesha muhamu. Nampenda ba tamuu.
Wewe huendani nakila mnyama ?? Hii ni dharau sio maoni kwanza tukiangalia mie nawewe nani anaendana nakila takataka ya humu siwewe maana hujielewi unamtaka nani humu vibabu ,vijana yaani kwa ujumla kila mtu kagonga unaona hadi umemakiwa tiki ya blue yaani wewe ni wapekee kabisaaWewe unaendana na kila mtu ila nakupa Vincenzo Jr
πππππUkute ameishiwa pawa huko maana haya mahaba ndugu yangu ni mgeni nayo πππ
π»π»Tupo pamoja shemeji π
Tutakupiga tukuue shem.Hahah shem
Mimi naomba ruhusa yako niongeze kabinti kengine
Tupo pamoja kaka mimi na wewe ni kufa na kuzikana.Daah Asante kaka kulikuwa hamna kula ni kushuhudia na kuondoka πila umefanikisha hili
Sawa.Wewe huendani nakila mnyama ?? Hii ni dharau sio maoni kwanza tukiangalia mie nawewe nani anaendana nakila takataka ya humu siwewe maana hujielewi unamtaka nani humu vibabu ,vijana yaani kwa ujumla kila mtu kagonga unaona hadi umemakiwa tiki ya blue yaani wewe ni wapekee kabisaa
Nipo ila nilibadili jina la IDKuna kijana nilikuwa namkubali sana huku sijui alienda wapi jamani.....Sema unaweza kuunganisha ID kumbe ni mtu mmoja humu
Mejiii najihisi niko mikono salamaa, sio kwa mapokezi haya ktk familia yenu.DLS game la watoto wa shule, halikufai shemeji π
Tutamchangia tu sisi kwenye familiya yetu huwa hatutengani πππ
SK nimeweka msisitizo(bold) kwenye neno la shemeji π
Selikavu
πππππMi mgumu kweli sichelewi kukuchumisha mboga beautiful boy πΉπΉπΉ
Jamani da Mau nini tena? πΉπΉπΉWewe huendani nakila mnyama ?? Hii ni dharau sio maoni kwanza tukiangalia mie nawewe nani anaendana nakila takataka ya humu siwewe maana hujielewi unamtaka nani humu vibabu ,vijana yaani kwa ujumla kila mtu kagonga unaona hadi umemakiwa tiki ya blue yaani wewe ni wapekee kabisaa
Kitu gani uduguu em samaraizi πΉπΉπΉπππππ
Udugu nimeangalia kitu hivi, au bas.
We nawe umezidi kuzubaa em mchambe akanywe dawa zake πΉπΉπΉSawa.
Ndo hivyo komaa na SK πΉπΉπΉππππππ wee uduguuu, sasa itakuajee?
Mume gani anakaa porini muda wote km baboon πΉπΉπΉ
Nitakupa panga alafu nirudi nyuma ππuchinjeππ Nitaua mtu
π hayo ndio mahaba sasa, na jela tunaenda wote , wazungu watatengeneza movie kutokana na maisha yetu π πNitakupa panga alafu nirudi nyuma ππuchinje
Dj walete.