Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Anasema hataki english figure anataka wowowo ππΉπΉπΉ Yeye anajitoa kwann??
Eti Vishu Mtata wewe huitaki pisi ya kidaktari?
Tatizo nawe unazurura sana πNilikuwa nimetokaπ€£
Atakuja tu πAtakuwa yupo bize na ujenzi wa taifaππ
Mi sitaki mapenzi na mtu nipewe tu min -me na Vishu Mtata tupewe na ππBraza Evelyn Salt mmemuweka na nani?
Shem mbona unaninanga sasaπTatizo nawe unazurura sana π
Akija msalimieππAtakuja tu π
Uzuri hata ndugu yangu nae anapitaga maeneo mengi kimya kimya na kutembeza likes tu πShem mbona unaninanga sasaπ
Edo kissyAkija msalimieππ
Unaleta maigizo nyumba ya sanaa?Ole wako nisiwe mimi ntakuroga
kwamba itanifanya nini io nyumba ya sanaa.....Unaleta maigizo nyumba ya sanaa?
Hana bayaππUzuri hata ndugu yangu nae anapitaga maeneo mengi kimya kimya na kutembeza likes tu π
Hata kuna uzi nimepita nimekuta amekutembezea like π
Jichanganye utajua waifu material ni nani πNdio nani huyo waifu material jina linaeleza yaliyomo yamo
Mstaarabu? Wadau wenzake kina Razorblade wana maoni tofauti π€¦ββοΈπWanasema kijana ni mstaarabu kama mimi, nadhani tutaendanaππ
Usiwaponze wenzio wakaja kuishia kwenye magunia ya mkaaWatawezana tu π
Mume umepata πHana bayaππ
Hizo couple tuwaachie wenyewe, tupewe kijiwe nongwa chetu tu.Mi sitaki mapenzi na mtu nipewe tu min -me na Vishu Mtata tupewe na ππ
View attachment 3456184
Hii akiona comrade itakuwaje? ππ₯°π₯°π
Pitia vizuri utaona kionjo cha MC kwenye sherehe πMC Lamomy hii imekaa vizuri sana π€£