Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Maneno ya wazi ya kibaguzi. Kwa akili yako inayoruhusiwa ni idd?. Hakuna kingine hapo zaidi ya roho mbaya na Inawaumiza moyo sana kuona Christmas inasherehekewa na watu wengi duniani koteKwanza sio waislam tu ambao hawataki kusikia kitu kinacho itwa krismas hata baadhi ya wakristo wenzenu wana ipinga mfano ni wasabato na waothodoxs.
Kwa mjibu wa uislamu hakuna kitu kinacho itwa krismas ila kwa sababu jamii yetu ni jamii mchanganyiko wa dini hasa uislamu na ukristo ni vyema kufumbia macho baadhi ya mambo ili maisha yaende ,ila ukifuata maandiko ya dini hii sikukuu muislam haruhusiwi kuihusudu kwa namna yeyote ile.
Ni nani mkristo aliyekuchukia wewe mwislamu? Ninyi ndio kutwa mnatoa kauli za chuki dhidi ya ukristo. Hata chanzo cha mjadala huu ni chuki yenu dhidi ya ukristo baada ya mwenzenu mmoja kuonesha upendo kwa wakristo; imewauma na mpaka mnamkaripia.Ukraine na Urusi ambao sasa hivi wapo wana uawa kama kuku na ni waislam?
Rwanda walipo uana napo ni waislam?
Hapo DRC ambao sasa wanauwana nao ni waislam?
Unataka waislam wakupende hali ya kuwa ww unawachukia?
Mimi mkiristo ila naishi vizuri sana na majirani zangu ambao ni waislam naelewa ninachoongeaWaliomshambulia wanawakilisha waislam wote. Yaani wanawakilisha tabia halisi ya waislam wote walivyo na ubinafsi na roho mbaya
Hahahahaha......usinichekeshe. Yani kuliko kuingia uislamu ni bora nikaabudu mizimu mapangoni kabisa. Hakuna dini hapo. Mafundisho ya chuki, visasi na mauaji siyawezi mie!!Nawewe anae ongea ulizaliwa ukiwa muislamu umekuja kubadilishwa dini na wazazi wako au upuuzi wako mwenyewe ukuwa mkubwa, intabidi urudi katika dini ya asiri yako Islam
Acha fujo mkuu. Narudia tena, tafuta amani na watu wote.Tayari amesha wakashifu na hapendi waislamu.
Mi mwenyewe ni mkristo na nnaamini katika kristo kuwa ni mwana wa Mungu.Kwanza sio waislam tu ambao hawataki kusikia kitu kinacho itwa krismas hata baadhi ya wakristo wenzenu wana ipinga mfano ni wasabato na waothodoxs.
Kwa mjibu wa uislamu hakuna kitu kinacho itwa krismas ila kwa sababu jamii yetu ni jamii mchanganyiko wa dini hasa uislamu na ukristo ni vyema kufumbia macho baadhi ya mambo ili maisha yaende ,ila ukifuata maandiko ya dini hii sikukuu muislam haruhusiwi kuihusudu kwa namna yeyote ile.
Waislam wote duniani wangekuwa kama Mo Salah, hakika maisha yangekuwa poa sana.Nimependa ujumbe kwenye picha ya Mo Salah and family, nimetamani tungekuwa tunaishi hivi na waislamu wote. Inapendeza.View attachment 2457758
OkNa haiwezekani tukaishi hivyo mkuu, sisi tuna miiko na taratibu zetu na itabaki hivyo mpaka kufa.
Kuishi nao kitaa sio tatizo,mbona tunaishi nao tu sana. Tofautisha hawa wa huku kwetu na wale kwenye nchi za kiislam hasa,kama ilivyo misri.Mimi mkiristo ila naishi vizuri sana na majirani zangu ambao ni waislam naelewa ninachoongea
Ni Haram uislam hautambui sikukuu ya crismasNdugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?
Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.
Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.
Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2457743
View attachment 2457739
View attachment 2457740
View attachment 2457742
Niliandika uzi wa hivi wakaufuta ..sipendi hao watu Mimi wanajisikiaga Sana ...nilikuwa napost eid el fitr sijui ila kwa Sasa sipost maana waslam wasap yangu hawapost iwe Easter au xmass iwe mbaya tuNdugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?
Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.
Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.
Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? 😳😳😳
View attachment 2457743
View attachment 2457739
View attachment 2457740
View attachment 2457742
Ulipo Google Ni mtu tu Kama wewe hana elimu kaandikais the day in which they celebrate the birth of the “son” of
Kwani kwenye Bible Kuna eid swali suna sijui eid elf fitrKwanza sio waislam tu ambao hawataki kusikia kitu kinacho itwa krismas hata baadhi ya wakristo wenzenu wana ipinga mfano ni wasabato na waothodoxs.
Kwa mjibu wa uislamu hakuna kitu kinacho itwa krismas ila kwa sababu jamii yetu ni jamii mchanganyiko wa dini hasa uislamu na ukristo ni vyema kufumbia macho baadhi ya mambo ili maisha yaende ,ila ukifuata maandiko ya dini hii sikukuu muislam haruhusiwi kuihusudu kwa namna yeyote ile.
Ni Haram uislam hautambui sikukuu ya crismas