Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Kwanza sio waislam tu ambao hawataki kusikia kitu kinacho itwa krismas hata baadhi ya wakristo wenzenu wana ipinga mfano ni wasabato na waothodoxs.

Kwa mjibu wa uislamu hakuna kitu kinacho itwa krismas ila kwa sababu jamii yetu ni jamii mchanganyiko wa dini hasa uislamu na ukristo ni vyema kufumbia macho baadhi ya mambo ili maisha yaende ,ila ukifuata maandiko ya dini hii sikukuu muislam haruhusiwi kuihusudu kwa namna yeyote ile.
Maneno ya wazi ya kibaguzi. Kwa akili yako inayoruhusiwa ni idd?. Hakuna kingine hapo zaidi ya roho mbaya na Inawaumiza moyo sana kuona Christmas inasherehekewa na watu wengi duniani kote
 
Ukraine na Urusi ambao sasa hivi wapo wana uawa kama kuku na ni waislam?

Rwanda walipo uana napo ni waislam?

Hapo DRC ambao sasa wanauwana nao ni waislam?

Unataka waislam wakupende hali ya kuwa ww unawachukia?
Ni nani mkristo aliyekuchukia wewe mwislamu? Ninyi ndio kutwa mnatoa kauli za chuki dhidi ya ukristo. Hata chanzo cha mjadala huu ni chuki yenu dhidi ya ukristo baada ya mwenzenu mmoja kuonesha upendo kwa wakristo; imewauma na mpaka mnamkaripia.

Mifano yako ya maeneo yenye vita kwa sasa kama Congo na Ukrane wala si sahihi. Huko vita ni vya msimu tu lakini Mashariki ya Kati ni vita vya miaka yote sababu wanaopigana huko ni waislamu wenye mafundisho ya visasi na kukomoana. Upendo kwenu ni msamiati usiokuwepo kabisa. Mna tatizo kubwa na hamtatoboa maana bado hamjajua wala kulikubali tatizo lenu!
 
Nawewe anae ongea ulizaliwa ukiwa muislamu umekuja kubadilishwa dini na wazazi wako au upuuzi wako mwenyewe ukuwa mkubwa, intabidi urudi katika dini ya asiri yako Islam
Hahahahaha......usinichekeshe. Yani kuliko kuingia uislamu ni bora nikaabudu mizimu mapangoni kabisa. Hakuna dini hapo. Mafundisho ya chuki, visasi na mauaji siyawezi mie!!
 
gumzo lililotanda chuki miongoni mwa
mashabiki wake mitandaoni baada ya
kuweka picha zinazoonesha ujumbe wa
kusherehekea krismasi.
Mashabiki wa mshabuliaji huyo
Liverpool na Misri Mohamed Salah
wameandika ujumbe wa chuki kuonesha
kutofurahishwa na kitendo chake kama
nyota wa Kislamu kutuma ujumbe wa
krismasi akiwa pamoja na familia yake.
Salah, 28, aliweka picha mtandaoni
zinazomuonesha yeye na familia yake
wakiwa wamevalia vizuri na kusimama
mbele ya mti wa Krismasi, na kwenye
ujumbe huo akaweka emoji 2, na hashtag
#MerryChristmas.
Lakini pia ujumbe huo wa Salah
umesababisha hasira kwa baadhi ya
wafuasi wake Waislamu ambao wamehoji
kuwa nyota huyo wa Kiislamu haruhusiwi
kusherekea sikukuu ya.
Ujumbe wa Salah kwenye mtandao wa
Instagram umepata likes' zaidi ya millioni
2.3 huku ujumbe wake kwenye Twitter
wenye picha hizo hizo ukiwa na 'likes' zaidi
Hata hivyo kuna waliojitokeza kumtetea
Nini maoni yako juu ya hili?

2 Wakorintho 3:17 SRUV

Basi “Bwana” ndiye Roho; lakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru

1 “Usihukumu ili usije ukahukumiwa. 2 Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.

3 “Mbona unatazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na wala huoni boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe

Mwisho mbona sisi wakristo tuna wish waislam Henri ya sherehe yao ile sijui ya nini kuna mpaka wakristo wanavaa makanzu na kofia wengine wanaenda mpaka msikitini
Huwezi kuta wakristo wana mtukana ndugu yao kuwa amekosea au nini

Kuna viongozi wa waislam wana kwenda mpaka mitaani kuhubiria watu wetu na wengine kutowa mpaka maneno ya kashfa kwa mkombozi wetu Yesu Kristo lakini kwenye imani lakini huwezi kumkuta mkristo yeyote ana lalamika

Ndugu zetu Waislamu mna matatizo gani?

Siri moja ya kupendana ni kama hii hivi ku wish mwenzako Henri ya Krismasi
Au henri ile yenu ya nini
Don't juge Wewe sio Mungu akuna hajuaye ukweli wa Mungu
 
Ngoja niwaache wafu mzikane Ila sisi tuliokulia koo zenye dini mbili hatuna time,

Wote tushakutana na tumepakua pilau na kuinjoi hii day na eid ikifika tunafanya vivyo hivyo

Kama kuna mtu dini yake inamfundisha chuki bhasi aendelee nayo
 
Kwanza sio waislam tu ambao hawataki kusikia kitu kinacho itwa krismas hata baadhi ya wakristo wenzenu wana ipinga mfano ni wasabato na waothodoxs.

Kwa mjibu wa uislamu hakuna kitu kinacho itwa krismas ila kwa sababu jamii yetu ni jamii mchanganyiko wa dini hasa uislamu na ukristo ni vyema kufumbia macho baadhi ya mambo ili maisha yaende ,ila ukifuata maandiko ya dini hii sikukuu muislam haruhusiwi kuihusudu kwa namna yeyote ile.
Mi mwenyewe ni mkristo na nnaamini katika kristo kuwa ni mwana wa Mungu.

Lakini siamini katika sherehe ya krismasi. Mwisho wa siku mawazo ya mtu yaheshimiwe.
 
KUNA WATU AKILI HAWANA KABISA HIVI KWENYE QURAN KUNA SEHEM WAMEANDIKA USI WISH WATU MERRY Christmas????

Afu ujinga mwingine ni huu, kama hupendi maudhui ya mtu kwa nini uendelee kum follow???
 
Nimependa ujumbe kwenye picha ya Mo Salah and family, nimetamani tungekuwa tunaishi hivi na waislamu wote. Inapendeza.View attachment 2457758
Waislam wote duniani wangekuwa kama Mo Salah, hakika maisha yangekuwa poa sana.

Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena. Kuna zile jamaa zinazovaa kobazi muda wote!! Aisee zimekaa kishari shari tu. Elimu kichwani hazina! Zinawaza kuua tu biadamu wasio na hatia, kwa kisingizio cha dini.

Mwenyezi Mungu, aendelee kumbariki Mo Salah na familia yake. Hakika amekomaa sana kiimani.
 
Mimi mkiristo ila naishi vizuri sana na majirani zangu ambao ni waislam naelewa ninachoongea
Kuishi nao kitaa sio tatizo,mbona tunaishi nao tu sana. Tofautisha hawa wa huku kwetu na wale kwenye nchi za kiislam hasa,kama ilivyo misri.
Umeisahau pia juzi tu nchi ya kiislam nyingine imefika nusu final kombe la dunia wakaibuka Africa wasitushangilie. Hebu jiulize mpaka kufikia huko walipitia bara gani?
 
Ndugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?

Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.

Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.

Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? [emoji15][emoji15][emoji15]

View attachment 2457743

View attachment 2457739

View attachment 2457740

View attachment 2457742
Ni Haram uislam hautambui sikukuu ya crismas
 
Ndugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?

Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.

Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.

Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? 😳😳😳

View attachment 2457743

View attachment 2457739

View attachment 2457740

View attachment 2457742
Niliandika uzi wa hivi wakaufuta ..sipendi hao watu Mimi wanajisikiaga Sana ...nilikuwa napost eid el fitr sijui ila kwa Sasa sipost maana waslam wasap yangu hawapost iwe Easter au xmass iwe mbaya tu

Na huu mwaka mpya ni wetu hao wako sijui nyuma miaka mingapi ila Cha ajabu kuomba kazi wanaandika tareh yadunia huo mwaka wao wa 1700 sijui hatuutambui sisi
 
Katweet hapo,chukueni pongezi kutoka kwa super star namba moja la kiarabu
screenshot_20221225-161153-png.2457899
 
Attachments

  • Screenshot_20221225-161153.png
    Screenshot_20221225-161153.png
    308.4 KB · Views: 13
Kwanza sio waislam tu ambao hawataki kusikia kitu kinacho itwa krismas hata baadhi ya wakristo wenzenu wana ipinga mfano ni wasabato na waothodoxs.

Kwa mjibu wa uislamu hakuna kitu kinacho itwa krismas ila kwa sababu jamii yetu ni jamii mchanganyiko wa dini hasa uislamu na ukristo ni vyema kufumbia macho baadhi ya mambo ili maisha yaende ,ila ukifuata maandiko ya dini hii sikukuu muislam haruhusiwi kuihusudu kwa namna yeyote ile.
Kwani kwenye Bible Kuna eid swali suna sijui eid elf fitr
 
Back
Top Bottom