Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

Well said mkuu
 
View attachment 2742459


Dogo anashindwa magoli tisa , imagine angekua timu kama Argentina au france angesaidia taifa kiasi gani??


Halaand ana kipaji cha pekee sana kwa sasa hamna mfano wake.

Atavaa viatu vya gold hadi atavichoka.
Kama Mbappe ameshindwa kuvaa hiko kiatu mpaka kuchoka, basi tusitegemee maajabu kwa Haaland, Mbappe kwa udogo wake na matokeo yake, huenda alipaswa yeye ndo akibebe haswa after Ronaldo na Messi.
 
Usiulize majibu mkuu!! Tunam,heshimu sana Messi, lakini tuukubali ukweli kuwa enzi yake inabaki historia!! Haaland ni habari nyingine kabisa!! Wala huwezi ukathubutu kulinganisha gari kubwa la kisasa (Haaland) na gari lililopitwa na wakati japo enzi zake lilitisha (Messi). Tutaendelea kumtembelea Messi kwenye jumba la makumbusho, lakini kwenye viwanja vya soka, tutaenda kumtazama Haaland!! Kura yangu kwa HAALAND.
 
hivi halland anashindanishwaje na kina Messi?....
overall game yake ikoje? anamkaribia henry?

mi naona halland ni mfungaji mzuri lakn sio mchezaji mzuri, hajamfikia hata mbape au kane.......
Nini maana ya mchezaji mzuri? Ni yule anayetimiza vizuri majukumu yake uwanjani kama anavyotarajiwa!! Majukumu ya mshambuliaji ni kufunga magoli!! na ndiyo matarajio ya watu!! Kwa habari ya kutimiza majukumu yake kama mshambuliaji, Haaland hana mpinzani kwa sasa!! Messi pia ni mshambuliaji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…