By stata mzuka
Ushamba huo au ukinunuliwa nyama na hao wanaApollo ndo unawaita maBillionair? Na kina Dakote wenye utajiri wa $ 2Billion tutawaitaje? Bakhresa mwenyewe huku hajawahi kuitwa hilo jina itakuwa huyo mwenye kahotel,,,level zake huku Bongo kama kina shigongo mwenye hotel na miradi.
Nilichogundua haraka haraka watoto wa Arusha ukiwanunulia nyama choma na bia kesho wanakutangaza bilionea...
Alafu wanaushirikiano we ona walivyojaza hii thread huyo Babu Sembeke mwenyewe wanamuita bilionea kumbe anandege ya kuwindia ikatua juu ya mti...
Wapunguze kujikweza!
sidhani kama inamjua erasto lkn pia usipende kuleta ubishi usio na maana ktk Tsh tule alikuwa ni billionea na ktk united states dollars ni millionea
Long way to Go!!!!!!!
List Yao ni 22 so bado sana mtasikia mengi
Zadi
Kombo unaonekana wazi kuwa unaendeshwa na ushabiki wa kitu fulani, wapo wafanyabiashara wengi tu wa Tanzanite wanamiliki biashara nyingi na za maana....sio lazima wote tumiliki vituo vya mafuta, maduka na magari ya abiria na mizigo, kuuza dawa za kulevya au viwanda vya aina yeyote ile ndio tuitwe bilionea. wako watua ambao hawana viwanda wala biashara ila ni professional ktk fani fulani ila ni bilionea!!!
Hata ukiwa na bilion 3 wewe ni bilionea
Kwa taarifa yako, Mengi ana migodi ya Tanzanite na anamiliki kiwanda cha maji....umeridhika??
....mbona walitajwa Said Bakhresa, Ali Mafuruki na Mengi na akina Mohamed Dewji !
au hamkupeleka data zao ?
Range tatu zinamuingizia nini na zimeajiri watu wangapi !?
Ali Dangote hapimwi kwa magari ya kutembelea, bali uwekezaji !
[Haya umeng'ang'ana sana, ila kaa ukijua tu ni bilionea. Kutoa ajira sio kigezo cha kupima ubilionea wa mtu!
Bila shaka wewni shabiki mzuri sana wa kurasa za michezo zinawaelezea mastaa wa ulaya, akisifiwa mbongo kwako karaha!!!
Hawavumi lakini wamo!!!]
Watu wa dar tabu kwel mnaendesha Raum na nyumb za kupanga na kaz z kuajiriwa mtafikia lini Arusha? Wewe tembelea Mji wa Arusha uone jinsi wazawa wanavyo invest mjini akina Kiure . Sasa dar matajiri n wahindi na wauza madawa 2 hamna lolote uswahl unawasumbua 2. Wa2 wanafanya kaz bhana co maneno . Hv mnaijua SG RESORT ? Co hotel ya kitoto more than ten floor halafu hajachukua mkopo n kwa hela ya madini sasa akiitwa Bilionea kinawauma tangu apo keshafariki .ila jambo 1nasisitza kama m2 anastahl sifa kwa mamb mazur ya n nn kumkandia ? Ndo yale hamna uwezo wa kununua gar lakn rafk yako akinunua unaumia moyo why? Co lazma wote 2we tajiri
Watu wa dar tabu kwel mnaendesha Raum na nyumb za kupanga na kaz z kuajiriwa mtafikia lini Arusha? Wewe tembelea Mji wa Arusha uone jinsi wazawa wanavyo invest mjini akina Kiure . Sasa dar matajiri n wahindi na wauza madawa 2 hamna lolote uswahl unawasumbua 2. Wa2 wanafanya kaz bhana co maneno . Hv mnaijua SG RESORT ? Co hotel ya kitoto more than ten floor halafu hajachukua mkopo n kwa hela ya madini sasa akiitwa Bilionea kinawauma tangu apo keshafariki .ila jambo 1nasisitza kama m2 anastahl sifa kwa mamb mazur ya n nn kumkandia ? Ndo yale hamna uwezo wa kununua gar lakn rafk yako akinunua unaumia moyo why? Co lazma wote 2we tajiri
Hivi unajua mgodi wa Tanzanite una thamani gani?? Unajua gharama ya kuendesha mgodi wa Tanzanite tena bila kutegemea mkopo toka bank? Kwa nini mtu anaemiliki hivyo asiitwe bilionea stop hatred
we ally kombo tutakeradhi uchumi wa zenj mnategemea unga sasa kwa nini usiuheshimu kama viongozi wa nchi yako mkuu...huo ndio unajaza waitaliano zanz unajua hilo huoni moja ya kitega uchumi????......hapo kariakoo kuna wanyalukolo wana hizo sg kama tano hivi ?......sasa sijui nani ni mswahili hapo !?
arusha wanachekesha kweli...yaani mtu ana range rover tatu na kahoteli kake nae BILLIONAIRE....sasa kariakoo kumejaa magorofa ya watu ambao hata mjini hapa hawajulikani,huko sinza hivyo vihoteli mbuzi vimejaa kibao na wamiliki hata haawajulikani ila wangekuwa arusha kila mtu angewajua MABILLIONAIRE HAWA....lakini NN lazima uelewe hawa ni billionaires wa TSHS......so haki yao kuwaita mabilionea
we ally kombo tutakeradhi uchumi wa zenj mnategemea unga sasa kwa nini usiuheshimu kama viongozi wa nchi yako mkuu...huo ndio unajaza waitaliano zanz unajua hilo huoni moja ya kitega uchumi????
Range Rover tatu....ni almost Bilioni.
Ukiingia SG Resort hata kwa nje tu unagundua kuwa ni investment ya zaidi ya TZS 4 billion.
Ili uwe bilionea lazima forbes wakujue,?acha ulimbukeni