Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Rip mthuya!ardhi na tumbo la uzazi vina tabia ya kufanana.vyote hukutanisha watu wapende wasipende!
 
Mfanyabiashara maarufu Erasto Msuya ameuawa kwa kupigwa risasi eneo la KIA wilayani Hai mkoani Kilimanjaro mapema leo.
Sisi wazee wa kudadavua mambo ebu tujuze kidogo katika maisha yake alikuwa mfuasi wa chama gani cha kisiasa ikizingatiwa ukiwa na vijifedha basi moja kwa moja unakuwa mfadhiri wa chama hicho. Zaidi ya yote nawapa pole wafiwa R.I.P Erasto Msuya.
 
..........eeeeh!! kaka ana hela huyu jamani, una nyumba ya Milioni 100?. Asante kwa taarifa.
 
Mfanyabiashara maarufu amepigwa risasi na kufariki hapo hapo katika najibishano na wanaosadikika ni majambazi mchana huu wa leo maeneo na kia Arusha.
 

LINCO, nami nakuheshimu sana pia, nikuambie tu bado nasimamia maneno yangu na ninajua kwanini nayasimamia! kama ishu ya mwanamke labda ibambikwe juu kwa juu, upo arusha hii? kama ndio unawajua watu wa madini vizuri?
 
Ndo tatizo watu wa Arusha akishakuwa na Resort hapo Sakina mnaanza kumuita Billionair,,sema ana hela yakusaidia familia yake.

yeah ana hela ya kusaidia familia yake wewe una za kumsaidia dem wako eheheheee auu una za kusaidiaaaa nway cjui y hili jina la blionair linawaumizaga. Bas poa
 

Jamani habari ni nzito na chungu sana! Ni kama vile naota.., laiti iwe ndoto tu!
 
Long way to Go!!!!!!!
List Yao ni 22 so bado sana mtasikia mengi
Zadi
 
Bilionea wa madini ya Tanzanite Erasto ameuwawa kwa kupigwa risasi.Habari zaidi zitafuata baadae.

Huyo naye alikuwa bilionea? Eti Preta, jamaa kweli alikuwa bilionea?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…