Mabulangati
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 796
- 167
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
labda awe amekudhulumu wewe, kwa tunaomjua vizuri hana hiyo tabia kabisaaaa atakuwa ameianza kwako.
huyu chusa si amemuondoa mtu juzi tu jamani! Kweli ubinadamu kazi!
tena sana, unataka kunisaidia kuya solve? na wewe alikutapeli? mxsiii Erasto awatapeli kwa shs ngapi, labda mlitapeliwa na huyo "chusa" wenu.
Wanasema kuna visasi:
Kuna jamaa anaitwa Mtinange walishaleteana sana ktk mambo ya buainess mpaka Erasto akamfunga.
Issue ya Chusa(jamaa aliyeuwa juzi kule tz1) walikuwa hawaivi ktk mambo ya business.
Wake za watu alikuwa ni mtaalam sana wa kuwapa huduma za kimwili na maumbile
achana nae,hajui anachokisema
Prishaz, wacha tu jamaa ana roho mbaya kichizi huyo, natamani asitoke lupango na hizo pesa zake za kusumbulia watu mjini hapa,msxiiii natamani asitoke huko huyu jamaa basi tu na mapolisi wetu hawa na pesa alizonazo sijui.
hahaha Nyamayao asante kwa kunichekesha umenikumbusha enzi za chai maharage,halafu kama nakufahamu vile ngoja niseti antena yangu vzr lol
Hapo ni Chusa na mke wa mtu,arusha ukiwa na hela wanawake wanajileta sasa jamaa akawa hawaachii anagonga adi wake za wana apolo wenzie
LINCO, nami nakuheshimu sana pia, nikuambie tu bado nasimamia maneno yangu na ninajua kwanini nayasimamia! kama ishu ya mwanamke labda ibambikwe juu kwa juu, upo arusha hii? kama ndio unawajua watu wa madini vizuri?
kuna watu km wanajua kitu ?Labda wazurumati sana
..........eeeeh!! kaka ana hela huyu jamani, una nyumba ya Milioni 100?. Asante kwa taarifa.
Kwani hujui kuwa huko ndo ngome ya CHADEMA?
bado naangalia hii 2013 range rover model nahisi inamilikiwa na watu wawili tz nzima au?
sema hapa kwetu watu wana hela nyingi ambazo hazina maelezo zilivyopatikana. uctishike kuckia bilionea ndugu hizo ni bilion za kibongo sio dola. mbona hizo hapo kkoo watu wanazo nyingi tu? mimi mwenyewe japo nipo under 33 ninazo tu. nyumba kwa mfano kama uliwawah wale wazee waliouziwa zile nyumba za serikali tuseme pale regent ukaweza kununua mbili muda huu wewe ni mtu mwingine. so ukisikia bilionea ujue ni TSHS sio dola. so kwa hela zetu za bongo wapo wengi tu usiogope kaka.
Huyo naye alikuwa bilionea? Eti Preta, jamaa kweli alikuwa bilionea?
Nyamayao nikiwa sokoni nijasikia habari za mfanyabiashara maarufu kupigwa shara, tena huyo chalii akasisitiza kapigwa risasi nane!!
Nikajua nikifika hapa nitapata dondoo za chanzo cha kifo chake.
Lakini kwa mujibu wa huyo chalii mke wa mtu ndiyo kamponza!!! Sasa sijui alichukua mke wa nani mpaka jamaa amfanyie namna hiyo.
Binafsi simfahamu vizuri lakini SG Hotel iliyopoo opposite na GB Shell naifahamu na nimesikitika sana kwa kuwa mazingira ya kifo chake kimetokea katika mazingira ya utata.
mkuu inasikitisha sana!huyu Erasto namfahamu sana,nakumbuka mwaka 2005 nilienda mererani nikamkuja jamaa yupo kwenye gorofa lake lililopo pale kando ya stand ya magari mererani.R.I.P Mpambanaji, hakika Wema Hawana Maisha!!??
yeah ana hela ya kusaidia familia yake wewe una za kumsaidia dem wako eheheheee auu una za kusaidiaaaa nway cjui y hili jina la blionair linawaumizaga. Bas poa
Ndio yeye, alikuwa anatoka Mererani alipofika eneo liitwalo Majengo ndipo akavamiwa na kupigwa risasi nane akafia palepale. Alikuwa ametoka kununua mzigo mkubwa sana (madini) wamechukua. Jeshi la polisi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha linawasaka watuhumiwa
Nyamayao nikiwa sokoni nijasikia habari za mfanyabiashara maarufu kupigwa shara, tena huyo chalii akasisitiza kapigwa risasi nane!!
Nikajua nikifika hapa nitapata dondoo za chanzo cha kifo chake.
Lakini kwa mujibu wa huyo chalii mke wa mtu ndiyo kamponza!!! Sasa sijui alichukua mke wa nani mpaka jamaa amfanyie namna hiyo.
Binafsi simfahamu vizuri lakini SG Hotel iliyopoo opposite na GB Shell naifahamu na nimesikitika sana kwa kuwa mazingira ya kifo chake kimetokea katika mazingira ya utata.