BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Yuko sahihi kabisa mleta bandikoUlichoandika umeandika cha ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko sahihi kabisa mleta bandikoUlichoandika umeandika cha ukweli?
Jambazi anakupokonya pesa lakini anakuachia roho yako. Polisi anachukua vyote, pesa pamoja na roho yako..Imefika mahali ni afadhari ukutane na jambazi huenda anaweza akaingiwa roho ya huruma sio hawa polisi wetu wana unyanyasaji mkubwa sana aisee sina hamu na hawa watu hasa akisha jiona kabeba bunduki na kavaa jezi anajiona ni mungu.
Hivi unawajua vizuri polisi au unawasikia tu,kama waliwaua wafanyabiashara wa madini kutoka ulangq morogoro na yule dereva wa tax wa sinza juma ndugu na zombie akatoka kwenye vyombo vya habari na kuaminisha watqnzania wale ni majambazi unawatetea Kwa kipiMbona inaeleweka Polisi huzingatia Taratibu zilizowekwa kisheria katika Utekelezaji wa majukumu yao. Wewe ilkuwaje?
Unaishi nchi gani definitely sio TanzaniaMbona inaeleweka Polisi huzingatia Taratibu zilizowekwa kisheria katika Utekelezaji wa majukumu yao. Wewe ilkuwaje?
Kama huna connection ya maana nchi hii hauna haki.Dawa yao ni kuwafanya kama alivyofanya Hamza mwaka 2021. Hao mbwa walinidhalilisha sana mwaka 2014/2015..
Watu walioona lile tukio waliwalaani sana ingawa wao wakawa wanacheka tu na kukenua meno. Kmmae zao sana wale jamaa..Kama huna connection ya maana nchi hii hauna haki.
Wengine wanakuwa na mwisho mbaya sababu ya mambo yao.Watu walioona lile tukio waliwalaani sana ingawa wao wakawa wanacheka tu na kukenua meno. Kmmae zao sana wale jamaa..
r kelly ni kapuku tu marekani system imemlea na ilikuwa ndo mda wake wakumshusha ...diomond unaeza mueka kwenye kundi la matajiri tz ila sio wenye nguvu na ushawishi wakutosha ....mwangalie mtu kama lugumi kaaibia serikali ,akakunja hadi sheria zikawekwa plea bargain tena mbele ya chuma maguUlaya na Marekani hakuna huu upuuzi mkuu. Muulize R Kelly..
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan yupo jela muda huu.r kelly ni kapuku tu marekani system imemlea na ilikuwa ndo mda wake wakumshusha ...diomond unaeza mueka kwenye kundi la matajiri tz ila sio wenye nguvu na ushawishi wakutosha ....mwangalie mtu kama lugumi kaaibia serikali ,akakunja hadi sheria zikawekwa plea bargain tena mbele ya chuma magu
Hili sakata liliniuma sana mkuu. Very innocent business people..Hivi unawajua vizuri polisi au unawasikia tu,kama waliwaua wafanyabiashara wa madini kutoka ulangq morogoro na yule dereva wa tax wa sinza juma ndugu na zombie akatoka kwenye vyombo vya habari na kuaminisha watqnzania wale ni majambazi unawatetea Kwa kipi
Polisi wana kauli mbiu yao wanasema "Kituoni unaingia bure ila unatoka na pesa..", na hiyo haijalishi kama una kosa au laahBaada ya siku 4 ndugu wanalia kuomba msaada utoke anaambiwa atoe laki 6, ndugu wanajichanga wanatoa laki 6 mtu anatoka akiwa kaumizwa na majeraha mengi mwilini ambayo kapigwa bila kosa.
Tatizo elimu form four ndio kigezo kikuu cha kuwa askari waanzie hapa kaujiri watu welevu waliostarabika na kutambua dunia inavyoenda. Huwezi mkuta mwanajeshi,askari mwenye taaluma yake safi anafanya huo ujinga.Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni.
Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa hawezi kutokae huyu akae kwanza siku 10 si anajifanya mjuaji anajua sheria tuone sasa, na mkija bila laki 4 hatoki milele
Baada ya siku 4 ndugu wanalia kuomba msaada utoke anaambiwa atoe laki 6, ndugu wanajichanga wanatoa laki 6 mtu anatoka akiwa kaumizwa na majeraha mengi mwilini ambayo kapigwa bila kosa.
Jeshi hili ni la kionezi kwa raia libadilishiwe muundo wake wa utendaji kazi, kwa jinsi ilivyo sasa Polisi yuko juu sheria na hasa kwa raia ambao hawana watetezi.
Wananchi hawa wa kawaida wananumizwa na kuteswa sana hiki chombo yani Polisi wakiwa na shida na pesa tu wanatafuta sababu ya kukamata raia na kuwatoza fedha nyingi bila kosa na hawataki kuhojiwa ukowahoji unapigwa haswa
Hiki chombo si rafiki kwa raia si msaada kwa raia kabisa na raia akinyanyaswa hakuna mamlaka ya kukiwajibisha hiki chombo, polisi wabadilishiwe namna ya kutekeleza kazi zao na kama ilivyo hivi sasa.
Huo ujinga sasa hivi hawawezi kunifanyia kmmae zao. Nitaua mmoja na mimi wataniua..Polisi wana kauli mbiu yao wanasema "Kituoni unaingia bure ila unatoka na pesa..", na hiyo haijalishi kama una kosa au laah
Kuna mmoja ni kabila moja na mimi huku kitaa. Sasa nimemkwepa kwa maana naona anatumika kigezo cha ukabila kunipeleleza. Anataka nimuone kama ndugu yangu kumbe ni spy anatumiwa..Polisi ni wanyama mwitu, hawana utu wala huruma hata kidogo, Huwa sipendi ukaribu au mazoea nao.
Kama una namba yake block kabisa na hama hilo eneo, anaweza kukukamatisha usingiziwe umekutwa na bangi au silaha, polisi sio rafiki yako hata kidogoKuna mmoja ni kabila moja na mimi huku kitaa. Sasa nimemkwepa kwa maana naona anatumika kigezo cha ukabila kunipeleleza. Anataka nimuone kama ndugu yangu kumbe ni spy anatumiwa..
Shida sio Polisi ni CcmPolisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni.
Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa hawezi kutokae huyu akae kwanza siku 10 si anajifanya mjuaji anajua sheria tuone sasa, na mkija bila laki 4 hatoki milele
Baada ya siku 4 ndugu wanalia kuomba msaada utoke anaambiwa atoe laki 6, ndugu wanajichanga wanatoa laki 6 mtu anatoka akiwa kaumizwa na majeraha mengi mwilini ambayo kapigwa bila kosa.
Jeshi hili ni la kionezi kwa raia libadilishiwe muundo wake wa utendaji kazi, kwa jinsi ilivyo sasa Polisi yuko juu sheria na hasa kwa raia ambao hawana watetezi.
Wananchi hawa wa kawaida wananumizwa na kuteswa sana hiki chombo yani Polisi wakiwa na shida na pesa tu wanatafuta sababu ya kukamata raia na kuwatoza fedha nyingi bila kosa na hawataki kuhojiwa ukowahoji unapigwa haswa
Hiki chombo si rafiki kwa raia si msaada kwa raia kabisa na raia akinyanyaswa hakuna mamlaka ya kukiwajibisha hiki chombo, polisi wabadilishiwe namna ya kutekeleza kazi zao na kama ilivyo hivi sasa.
Mwingine yupo humu humu JamiiForums, alitumwa kunivurugia mipango yangu ya maisha mwaka 2019 miezi ya mwishoni, nilikuja kimshtukia too late (Nikiwa nimechelewa) tajari akiwa amenivurugia kila kitu.Kama una namba yake block kabisa na hama hilo eneo, anaweza kukukamatisha usingiziwe umekutwa na bangi au silaha, polisi sio rafiki yako hata kidogo