Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu..

Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
 
Kwanini unasema tofauti ni ndogo sana? Elezea hizo tofauti halafu wataalamu watatuambia kama zina mashiko kiasi gani.

Kusema tofauti ni ndogo sana is a subjective statement. Mimi naweza kuuliza how much do they differ? quantify please
 
Tafauti ni hivi Ukiwa unajiandikisha na kadi ya mpiga kura taarifa za uhai na vifo vya wazazi wako haulizwi.. hiyo ni tofauti ila ukiwa una jiandisha kupata Kitambulisho Cha Taifa( NIDA) hicho kipengele Cha uhai na vifo vya wazazi wako unajaza.. japo ni taarifa za kawaida serikali ikiamua Watanzania wanaweza kupata kadi za NIDA bila shida yoyote Ile..kama ilivyo Kwa Sasa.
 
Nida kwa Tanzania ishakuwa kero...sijui huu mfumo waliuvamia bila kuwa na weledi nao...inakera sanaa mtu mwaka wa 7 huna namba kisa ni kubadili tu taarifa
 
Tafauti ni hivi Ukiwa unajiandikisha na kadi ya mpiga kura taarifa za uhai na vifo vya wazazi wako haulizwi.. hiyo ni tofauti ila ukiwa una jiandisha kupata Kitambulisho Cha Taifa( NIDA) hicho kipengele Cha uhai na vifo vya wazazi wako unajaza.. japo ni taarifa za kawaida serikali ikiamua Watanzania wanaweza kupata kadi za NIDA bila shida yoyote Ile..kama ilivyo Kwa Sasa.
Mbona mi sikuulizwa?na nida nilipewa?
 
Kwanza wafanyakazi wa NIDA wanajiona miungu watu, wana maringo mara waseme hamna mtandao mara hiki mara kile. Kuna hao Nida wa KIOMBOI, SINGIDA wamenizungusha hadi leo nimeshindwa kujiandikisha ukienda ofisini wanachat tu afu wanakwambia hamna mtandao njoo j3 kila siku story ni hiyo hiyo ya j3 hadi nimejikatia tamaa
 
Adha au kero niionayo unaweza jiandikisha leo taarifa zako zikachukuliwa ila kitambulisho kukipata yaweza pita miaka kadhaa
 
Back
Top Bottom