Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unasema tofauti ni ndogo sana? Elezea hizo tofauti halafu wataalamu watatuambia kama zina mashiko kiasi gani.Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu..
Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
Tafauti ni hivi Ukiwa unajiandikisha na kadi ya mpiga kura taarifa za uhai na vifo vya wazazi wako haulizwi.. hiyo ni tofauti ila ukiwa una jiandisha kupata Kitambulisho Cha Taifa( NIDA) hicho kipengele Cha uhai na vifo vya wazazi wako unajaza.. japo ni taarifa za kawaida serikali ikiamua Watanzania wanaweza kupata kadi za NIDA bila shida yoyote Ile..kama ilivyo Kwa Sasa.Kwanini unasema tofauti ni ndogo sana? Elezea hizo tofauti halafu wataalamu watatuambia kama zina mashiko kiasi gani.
Kusema tofauti ni ndogo sana is a subjective statement. Mimi naweza kuuliza how much do they differ? quantify please
Mbona mi sikuulizwa?na nida nilipewa?Tafauti ni hivi Ukiwa unajiandikisha na kadi ya mpiga kura taarifa za uhai na vifo vya wazazi wako haulizwi.. hiyo ni tofauti ila ukiwa una jiandisha kupata Kitambulisho Cha Taifa( NIDA) hicho kipengele Cha uhai na vifo vya wazazi wako unajaza.. japo ni taarifa za kawaida serikali ikiamua Watanzania wanaweza kupata kadi za NIDA bila shida yoyote Ile..kama ilivyo Kwa Sasa.
Alaf kitambulisho Cha kura ni imara kuliko Cha nida