Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania


serikali ya sisiyemu ikiongozwa na chifu hangaya ni sikivu tunawaletea ndege nyingi za mizigo muwe wa pole.
 
Kwa Nini imepanda kiasi cho hi mkuu?
 
Umeongea vizuri mkuu, kwetu wakati grab ya vitu kupanda salary zipo pale pale kitu pia ambacho kinapunguza mzunguko wa fedha kwenye jamii
 
Nimecheka mkuu,kwamba lahana ya mzee Lowasa itawatafuna ccm mpaka mwisho,lakini alisharudi nyumbani ,maana nyingine amesamehe
 
Usijadili kwa nini vimepanda; jadili namna ya kutafuta kupambana nayo
Viti vikiendela kupanda pesa itapoteza thamani, pesa ikipiteza thamani uchumi utaanguka. Hivyo hata ukitafuta vipi itakua kazi bure
 
Viti vikiendela kupanda pesa itapoteza thamani, pesa ikipiteza thamani uchumi utaanguka. Hivyo hata ukitafuta vipi itakua kazi bure
Una matatizo; Hivi vitu vina kanuni na Ukombozi wa kiuchumi is not a collective thing!
 
Chuma ya aluminum iliyo kuwa inauzwa 30000 Sasa ni 55000

Vioo vilivyo kuwa vinauzwa 44000 kwa Sasa ni tsh 120000-150000 /= hii si sawa nafikiri Kuna shida mahala ,hata Kama chnzo cha mfumko ni korona lakini wafanya biashara wamejiongeza mbele zaidi.

Bahati mbaya kabisa serikali haisemi chochote kuhusu mufumko huo.

Ni hatari sana
 
Umeongea vizuri mkuu, kwetu wakati grab ya vitu kupanda salary zipo pale pale kitu pia ambacho kinapunguza mzunguko wa fedha kwenye jamii

Hali si hali naona huko maana ukiona tajiri wanalalamika na maisha basi ujue hali ni mbaya haswa

Na haitabadilika kwa mda mrefu kwani deni limezidi na miradi mingi ni white elephant ambayo itakuwa ni magofu au scraper tu na hela nyingi zikiwa zimetumika wakati nyingi zikiwa za mikopo

Mishahara ya ziada itatoka wapi wakati hali ni mbaya ?
 
Bati 30 gauge simba dume kutoka tshs 17000 mwezi wa sita hadi 24000 kwa piece
 
Leo nmeenda kununua saban ya 500 naambiwa 700( ile ya unga) kiukwel huko mbele cjui Kama mama atatufikisha,na tukifika tutakuwa tmechoka Sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…