Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?
Watalamu tunasema deal done, yule jamaa nikimwona Nampa mke wangu maana kaenda mlemle hiki Chama kumbe kirefu chake ni chama cha mapunzi wao wanatudanganya wanatoa mbuzi wanaweka mapinduzi. Yule mtu apewe ulinzi na ajengewe sanamu pale nje ya ukumbi wa Chama cha MAMBUZI

N. B yusuph makamba heshimu waandishi wa Habari usijizime data, wale ndowanatupa taarifa wananchi kama huwezi kujibu maswali ni bora ukasema no comment maana mm ningekuwepo usingejaribu kuniwekea kidole puani mana mpaka sasa taarifa ingekuwa tofauti na mambo yangebadilika
 
Jamaa gani…tulia kwanza ndio uandike habari tukuelewe…
 
Nadhani huu ungekuwa wakati mzuri sana kukiondoa chama hiki cha mambuzi kama pangekuwepo na chama sahihi na chenye nia njema na thabiti kwa nchi. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye rasilimali za kila aina kuteseka kwa mgao wa umeme, maji ni AIBU! Baadhi ya mbuzi sasa wamegeuka chawa! Kwao maslahi ya matumbo yao ni bora kuliko ya watanzania!
 
Hiyo Video iko Wapi..? Kwaiyo ndo Kusema mpaka Sasa hatuna Chama sahihi , chenye nia njema Na thabiti Kwa Nchi...!

Mmmh.....Ngoja Wahusika uliowalenga wafike!!!
 
Nadhani huu ungekuwa wakati mzuri sana kukiondoa chama hiki cha mambuzi kama pangekuwepo na chama sahihi na chenye nia njema na thabiti kwa nchi. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye rasilimali za kila aina kuteseka kwa mgao wa umeme, maji ni AIBU! Baadhi ya mbuzi sasa wamegeuka chawa! Kwao maslahi ya matumbo yao ni bora kuliko ya watanzania!
View attachment 2438782
Nimecheka sana

CCM watasema huyu atakuwa kaambiwa na Chadema aseme chama cha mambuzi!
 
Suala siyo chama wananchi tupo tuorganize tuandamane kudai katiba
 
Nadhani huu ungekuwa wakati mzuri sana kukiondoa chama hiki cha mambuzi kama pangekuwepo na chama sahihi na chenye nia njema na thabiti kwa nchi. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye rasilimali za kila aina kuteseka kwa mgao wa umeme, maji ni AIBU! Baadhi ya mbuzi sasa wamegeuka chawa! Kwao maslahi ya matumbo yao ni bora kuliko ya watanzania!
View attachment 2438782
haha ha ha...
 
6d3d8ead4dcd67899f7e95457074133f.gif
 
Back
Top Bottom