Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?
Ukikaa chini ukatafakari namna tunavyoenda kama taifa huwezi kuyakataa maneno ya huyo jamaa maana wanayoyafanya waliojipa dhamana huwezi kusema wanatumia akili za kibinadamu wale ni mbuzi meeh kabisa.

Umeme tabu maji tabu hela zinachotwa hovyo kinachofanyika hakionekani,raisi anasimama hadharani anasema ”wote tunakula najua ila kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake" means watu wajipigie alimradi usimtingishe mwenzako akadondosha kijiko kuna namna yoyote ya kujitetea kusema CCM siyo chama cha mambuzi?
 
Yupo sahihi.Imagine wameanza kukiri wenyewe bila shuruti kuwa nchi inaongozwa na mbumbumbu
 
[emoji28][emoji28][emoji28],asante mgeni[emoji122]
JamiiForums1852288186.jpg
 
Back
Top Bottom