Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Watalamu tunasema deal done, yule jamaa nikimwona Nampa mke wangu maana kaenda mlemle hiki Chama kumbe kirefu chake ni chama cha mapunzi wao wanatudanganya wanatoa mbuzi wanaweka mapinduzi. Yule mtu apewe ulinzi na ajengewe sanamu pale nje ya ukumbi wa Chama cha MAMBUZI
N. B yusuph makamba heshimu waandishi wa Habari usijizime data, wale ndowanatupa taarifa wananchi kama huwezi kujibu maswali ni bora ukasema no comment maana mm ningekuwepo usingejaribu kuniwekea kidole puani mana mpaka sasa taarifa ingekuwa tofauti na mambo yangebadilika
FatiliaJamaa ganiβ¦tulia kwanza ndio uandike habari tukueleweβ¦
Lakini ni ukweli ni chama cha mambuzi yanakula kulingana na kamba walizofungwa!Pweinti
Nimecheka sanaNadhani huu ungekuwa wakati mzuri sana kukiondoa chama hiki cha mambuzi kama pangekuwepo na chama sahihi na chenye nia njema na thabiti kwa nchi. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye rasilimali za kila aina kuteseka kwa mgao wa umeme, maji ni AIBU! Baadhi ya mbuzi sasa wamegeuka chawa! Kwao maslahi ya matumbo yao ni bora kuliko ya watanzania!
View attachment 2438782
haha ha ha...Nadhani huu ungekuwa wakati mzuri sana kukiondoa chama hiki cha mambuzi kama pangekuwepo na chama sahihi na chenye nia njema na thabiti kwa nchi. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye rasilimali za kila aina kuteseka kwa mgao wa umeme, maji ni AIBU! Baadhi ya mbuzi sasa wamegeuka chawa! Kwao maslahi ya matumbo yao ni bora kuliko ya watanzania!
View attachment 2438782
Nadhani huu ungekuwa wakati mzuri sana kukiondoa chama hiki cha mambuzi kama pangekuwepo na chama sahihi na chenye nia njema na thabiti kwa nchi. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye rasilimali za kila aina kuteseka kwa mgao wa umeme, maji ni AIBU! Baadhi ya mbuzi sasa wamegeuka chawa! Kwao maslahi ya matumbo yao ni bora kuliko ya watanzania!
View attachment 2438782
Mbona imenyofolewa au mbuzi wamekwenda kulala?Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.
hebu msikilize na wewe