Sioni kosa lake, mbona amesema ukweli kwani ccm sio chama cha mambuzi?
Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.

hebu msikilize na wewe

 
Chaman Cha ma meeeee kazi yao ni

Mama anaupiga mwingi.......
Mitano Tena Kwa.......
Hawajawai kua na msimamo na wanachokitaka Kila kitu kwao ni kusifia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…