Basi tuwaiteni Mafisi maana Mbuzi hutaki🤣Chama cha mambuzi hakiwezi kuwa strong namna hii kingeshaliwa na mbwa mwitu. Huyo jamaa amekosea tu kutokana na kutokuwa mzungumzaji wa kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tuwaiteni Mafisi maana Mbuzi hutaki🤣Chama cha mambuzi hakiwezi kuwa strong namna hii kingeshaliwa na mbwa mwitu. Huyo jamaa amekosea tu kutokana na kutokuwa mzungumzaji wa kiswahili
Jamaa kapiga mule mule🤣Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.
hebu msikilize na wewe
Anamaana kila mbuzi takula kwa urefu wa kamba yakeMama anaposemaga mle kwa urefu wa kamba huwa ana maana gani ?
KwakweliTunajipooza machungu hapa saiv niko zangu gizani,, kwanini nisiwaite mbuzi tena hilo zuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi tunajadili maoni ya mgeni wetu alipokua kwenye mkutano wa chama cha mambuzi
Wareva🤣Mgeni atakuwa kaandaliwa na Chadema sio bure. #ChamaChaMaMbuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mgeni alitakiwa aandikiwe kinoti na aseme chama cha mafisi ingependeza zaidi
Chama Cha mbuziHajakosea kabisa kabisa
Nyie hamjui hata kukonekt dots?Chama Cha mbuzi
Nimecheka hadi hali ya hewa imeharibika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Next time tafuta tu Mgeni wa kawaida. Huku kuigaiga mambo huku haya Leo mmeitwa Mbuzi.
Ila kweli huenda nyie ni mbuzi
View attachment 2438937
Mungu humtumia yoyote kuwafungua akili walio kifungoni Bila kujijua!Kuna wakati mambo hufanyika kwa bahati mbaya lakini yakaashiria uhalisia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu humtumia yoyote kuwafungua akili walio kifungoni Bila kujijua!
Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.
hebu msikilize na wewe
Pole sana Ndugu Yangu hahahaNimecheka hadi hali ya hewa imeharibika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣