Kibulungwe
Senior Member
- May 2, 2022
- 155
- 285
[emoji106][emoji106]Kwa mtu ambae ni mgeni haina shida mwenye shida ni wewe uliecheka huku ukijua mzungumzaji amekosea kutokana na lugha kumpiga chenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106][emoji106]Kwa mtu ambae ni mgeni haina shida mwenye shida ni wewe uliecheka huku ukijua mzungumzaji amekosea kutokana na lugha kumpiga chenga.
Usiwahusishe Baba na Mama zetu na vitu vya ajabu. Kama Uchawa umewaambukiza mpaka Wazazi wako, endelea.Huyo kiswahili sio lugha yake, ww umeona furaha ipi? Shida yako uitukane CCM, please CCM uiheshima kama Baba na Mama yako..
Mbuzi ni wasumbufu sana na huwa hawana utulivu,ukidelay kidogo tu utawakuta shambani Kwa mtu😀😀Kwa aliye wahi kuchunga mbuzi bilashaka atakubaliana na mimi kuwa mbuzi huwa ni mwizi na ni mrafi kupindukia
Nchi inakopa kufanya mikutano kama hii? waliyataka wenyewe, Mungu amewalipua. Nchi inazo shida nyingi sana zinazohitaji pesa hizi zinazotumika kualika watu unnecessary kwenye mkutano wa kifahari.Nadhani huu ungekuwa wakati mzuri sana kukiondoa chama hiki cha mambuzi kama pangekuwepo na chama sahihi na chenye nia njema na thabiti kwa nchi. Miaka 60 ya uhuru nchi yenye rasilimali za kila aina kuteseka kwa mgao wa umeme, maji ni AIBU! Baadhi ya mbuzi sasa wamegeuka chawa! Kwao maslahi ya matumbo yao ni bora kuliko ya watanzania!
View attachment 2438782
kualika wageni wote wale maana yake matumizi makubwa ya pesa kuwaalika, kusafiri, kukaa, na kuondoka. Mbona tunaambiwa miradi inakwama kwa ukosefu wa pesa? vipaumbele hatuna. Leo hii tunatifuatifua barabara nzuri kabisa za lami ili kujenga barabara za mwendokasi, yaani mipango hakuna kama mbuzi tu, siku sote tunakua reactive badala ya proactive, hasara juu ya hasara, deni juu ya deni, maana barabara hizi tunazozichimbua tukijenga mwendokasi ni za mkopo pia. Utashangaa hata huko Dodoma sasa hivi wanajenga barabara bila kuweka provision ya kujenga reli au barabara za mwendokazi huko mbele ya safari miaka 30-50 ijayo jiji litakapokuwa limejaa.Ukikaa chini ukatafakari namna tunavyoenda kama taifa huwezi kuyakataa maneno ya huyo jamaa maana wanayoyafanya waliojipa dhamana huwezi kusema wanatumia akili za kibinadamu wale ni mbuzi meeh kabisa.
Umeme tabu maji tabu hela zinachotwa hovyo kinachofanyika hakionekani,raisi anasimama hadharani anasema ”wote tunakula najua ila kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake" means watu wajipigie alimradi usimtingishe mwenzako akadondosha kijiko kuna namna yoyote ya kujitetea kusema CCM siyo chama cha mambuzi?
Chadema ya kweli ni Ile ya Slaa hii ya Mbowe hamna kituNimecheka sana
CCM watasema huyu atakuwa kaambiwa na Chadema aseme chama cha mambuzi!
Tuisubiri2025 hatuwezi kuchagua mambuzi kwa namna yoyote ile.
2025 usilolipenda litaendelea. MUNGU na akupe nguvu na uhai kushuhudia.Nendeni mkatawale mbuzi huko.
Hoja hii haitobadili uhalisia.Rais wa Mbuzi sio watanzania.
Hivi yule mgeni mlimtoa wapi? Kwa kweli ametubariki sana.Hoja hii haitobadili uhalisia.
Mbuzi ni wasumbufu! Hawatosheki na kidogo wanachopata! Ni walafi! Wanapenda kuzurura hovyo!!Kwa aliye wahi kuchunga mbuzi bilashaka atakubaliana na mimi kuwa mbuzi huwa ni mwizi na ni mrafi kupindukia
Na kwanini isiwe sababu ni kuwa chama kina mambuzi..!? Au combination ya lugha na mambuzi?Kwa mtu ambae ni mgeni haina shida mwenye shida ni wewe uliecheka huku ukijua mzungumzaji amekosea kutokana na lugha kumpiga chenga.
Mgeni ni wa chama cha mapinduzi, alibarikiwa kujumuika na chama tawala na ujumbe wake ulipokelewa kwa furaha pamoja na changamoto za matamshi ambazo zimekuwa hoja kwa baadhi ya wapinzani wa ccm. Itapendeza zaidi iwapo hoja hii itabebwa na viongozi wa upinzani pia kama moja ya hoja za uchaguzi 2025. Itarahisisha ushindani unaotegemewa.Hivi yule mgeni mlimtoa wapi? Kwa kweli ametubariki sana.
Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.
hebu msikilize na wewe