Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

hata esther wassira nae wamemtosa...hawa jamaa bana wamechomeka jamaa zao
Hiki chama hakika kina wenyewe...yani Ester wasira,Rose na Pacha wa Regia sikutegemea kama wangenyimwa viti maalum...! Walimtumia sana Ester kwenye sherehe MC leo wamemtupa....! Hakika hiki chama kina wenyewe....
Antropia atakuwa hawara wa mkuu pale Ufipa
 
Mambo ya Ukawa yanakuhusu? Mbona ccm mnawashwa sn tuacheni bado tunahasira na wizi wenu
 
Hata Mimi sidhani MTU aliyegharimu jimbo kupewe viti maalumu, kama hilo ni kweli na hatutapewa maelezo yoyote ya kutetea uamuzi huo NITAJITOA UKAWA Mara moja.

na mm ntakuunga mkono, huyu dada nmemchukia kweli km chadema inashindwa kuwachukulia hatua kali watu km hawa, ikulu itapasikia redioni. nina mashaka alihongwa na ccm. Ukifuatilia vzr uchaguz wa Ilala, segelea, kgamboni na mbagala, km UKAWA wangekua na umoja kweli, ccm wasingepata hata jimbo moja Dar

Wakuu nadhan maslahi mapana ya watu wa segerea yamezingatiwa,lile jimbo kuachwa bila kupata mtu toka ukawa wa kuliwakilisha siyo fair kwa watu wa segerea,wakat huu ni vema kuangalia maslah ya segerea kwa mapana zaid ya personal differences kwan unapolipa jimbo mtu wa viti maalum ni kuonesha umetambua mchango wa kura zao walizokuunga mkono na pia unalitunza jimbo kwa uchaguzi wa baadae kwa kuwa na mtaji wa kisiasa kupitia muwakilishi wa viti maalum.
 
Kuandika facebook haimaanishi kinyongo kimeisha.

Si mlisema huu mgogoro wa jimbo la segerea umetatuliwa..?nini kilijiri baadaye

Antropia alijitoa kwa kufuata sheria za NEC bado wakaleta karatasi zenye jina lake na picha.
Ulitaka watatue vipi zaidi ya hivyo? Wananchi wamepigia kura CDM wengi wao bila kujua coz Antropia hata Kampeni hakufanya kabisa
 
Nitajitoa ukawa na uharakati wangu pindi huyu mdada akipewa ubunge viti maalumu. Nitaamini ukawa kuna mambo ya uwesharati
 
kwani nyie mnaojitangaza kukihama CHADEMA kama atatangazwa Anatropia hamjui kuwa ukiwa ni kijiwe cha malengo binafsi????

tehteh haya huyo katangazwa jitoeni ukiwa....
 
maabazazi wa ccm majambazi hayana hamu yanadhani yanaweza tikisa ukawa endeleeni na push up washamba nyie na kuvamia vitabu vya mahudhurio mawiarani eti hapa kazi tu
 
Mtatiro huyu aliyeukosa urais wa UDSM au?
Pengine angekubali kuanzia harakati zake chadema angefika mbali



lakini unajua hata hio UDSM iko ramani gani? wachilia mbali wagombea wake wa DARUSO enzi hizo?
 
Nitajitoa ukawa na uharakati wangu pindi huyu mdada akipewa ubunge viti maalumu. Nitaamini ukawa kuna mambo ya uwesharati

ndio kashaapewa sasa bado upo ukawa au unatingisha kibiriti
 
Hii inatokana na CHADEMA kuwapa viti maalumu watu mizigo mitandaoni kila mpigania ama mfia chama amelaani sana kuwa viti maalumu vimetolewa kwa upendeleo mwingi sana dhana ya #CHADEMA ina wenyewe ilikwepo toka enzi na enzi.


Cadema ni ile ile na inacopy na kupaste mambo ya CCM.
 
Hii inatokana na chadema kuwapa viti maalumu watu mizigo.....mitandaoni kila mpigania ama mfia chama amelaani sana kuwa viti maalumu vimetolewa kwa uprndeleo mwingi sana.........dhana ya #chadema INA wenyewe.....ilikwepo toka enzi na enzi.......


Chadema ni ile ile na INA copy na kupaste mambo ya ccm............


Leta majina yao na watokako ili mjadala uwe mzuri blabla hatutaki.
 
Wivu tu unawasumbua. Waswahili wanasema 'bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi,
 
Dada kama ulikosa viti maalum usikasirike hayo yote ni maisha mbona mama yangu sio mbunge
 
Hii inatokana na chadema kuwapa viti maalumu watu mizigo.....mitandaoni kila mpigania ama mfia chama amelaani sana kuwa viti maalumu vimetolewa kwa uprndeleo mwingi sana.........dhana ya #chadema INA wenyewe.....ilikwepo toka enzi na enzi.......


Chadema ni ile ile na INA copy na kupaste mambo ya ccm............
Kumbe kimechafuka mtandaoni IT Masaki bana.
 
Back
Top Bottom