Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Wanamzidi magufuli
Weeeee Magufuli kwa kiingereza usimchezeee, kama hujui kiingereza chake alifundishwa na muingereza mwenyewe, Jpm akitema yai hapa hadi Queen Elizabeth anampigia saruti jinsi RP ya JPM ilivyosimama, sio nyinyi mliofundishwa na waganda.
 
Siipendi CCM kabisa kutoka uvunguni mwa moyo wangu ila Mwalimu kuwa mgombe mwenza sijaafiki hata punje,huyo enzi tupo IFM aliachiwa uraisi kwa miezi michache tu baada ya raisi kusimamishwa chuo sababu ya migomo akanunua gari kwa kupiga deal za IFMSO ndo awe makamu wa raisi wa JMT.

Mwaka huu sipigi kura.
 
propaganda kwa Lisu zimekwisha anaendelea kuwanyoosha tu sasa mehamia kwa mgombea mwenza safari hii mtamyooka tu hakuna namna muwakabidhi nchi waiongoze
 
Hahaha kweli kwa boko ulilotoa hata mwenyewe unajishangaa
Wewe ndio ujishangae, Mimi Niko cool na nilichokiandika and I'm comfortable shida kwako wakutaka kunipangia Cha kuandika
 
kama magufuli kaweza kuongoza tanzania kuna mtanzania gani atashindwa kuongoza hii nji
 
Kuna sehemu chadema wamekosea hata Mimi nimeona! Jamani mwenye CV ya salum mwalimu aidondoshe hapa tuione! Maana chadema tunaona kama wanatania taasisi ya uraisi!
acheni kukariri zama zimebadilika hata mimi naweza nikipewa nafasi kama magufuli amejaribu
 
Kuwa kiongozi sio lazima uwe na tumbo kubwaa kama la Kangi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mwalimu yupo vizuri hata CCM wamezidi kupotea dadeki ๐Ÿคฃtukutane Oct 28, ni YEYE โœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
 
Weeeee Magufuli kwa kiingereza usimchezeee, kama hujui kiingereza chake alifundishwa na muingereza mwenyewe, Jpm akitema yai hapa hadi Queen Elizabeth anampigia saruti jinsi RP ya JPM ilivyosimama, sio nyinyi mliofundishwa na waganda.
Kupata kichekesho kama hiki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ