Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Mungu ni mwema I agree kwa kumponya na wengi tulimuombea.

But this guy is getting out of control it’s official he is now a pathological lier.
 
Mazwazwa yanashangilia boko alilotoa Lisu
 
Hivi unajua ilani ya ccm ya 2015 ilikuwa na sera juu ya uchumi wa gas ??

Kwahiyo unataka kusema zote hizo zilikuwa ni porojo za ccm ?
 
Sasa wewe si utoe hizo costs?
 
Ujinga wao mpaka unakera how shallow can they be mtu anaongea upuuzi hana chochote anachokijua anaropoka kama vile anaongea na watoto wadogo na watu wazima wanamshangilia.
Hivi wewe kapuku mlala njaa ndio wa kumchalenji Lissu The Greatest ! nani kakudanganya kama una uwezo huo ?
 
Hivi unajua ilani ya ccm ya 2015 ilikuwa na sera juu ya uchumi wa gas ??

Kwahiyo unataka kusema zote hizo zilikuwa ni porojo za ccm ?
Tatizo lenu amsikilizi hivi tunafahamu juzi kupitia Dr Abbas alisema LNG plant itakuwa 8 trillion TZ sh badala ya $30 billlion Zitto na wapuuzi wengine waliokuwa wanashadidia nyuma ya pazia watu walikuwa wanafanya renegotiations ya mikataba mibovu bila ya kuacha utekelezaji mikakati ya kuongeza umeme.

Ebu watanzania tujifunze kuwa na shukran Magufuli is not perfect but he did damn good job in his first kuiandaa nchi kupaa kiuchumi kupitia infrustructure project.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…