Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Mkuu hata wachawi hupumzika kuroga walau siku moja moja.

Mpe credit hata kidogo hata wachawi wanachakumsifu mhanga wa uchawi wao.

Au wewe ndiyo uliyetekeleza lile jaribio la kumuua hivyo roho inakuuma sana ukimuona bado yuko hai ?

Mungu ni mwema bado yupo sana tu jaribu kufanya mengine chuki zako binafsi hazitamuondoa Duniani
Mungu ni mwema I agree kwa kumponya na wengi tulimuombea.

But this guy is getting out of control it’s official he is now a pathological lier.
 
Mazwazwa yanashangilia boko alilotoa Lisu
 
Kwa watu kama nyie nipe cost ya kutengeneza offshore rig ili utoe Gas, nipe cost ya kutengeneza LNG plant upate Gas, nipe cost ya kutengeneza pipe ya kutoa Gas baharini hadi kwenye LNG plant na kutoka hapo kufika kiwandani.

Halafu linanginisha hizo cost na cost za hydro power uone hiyo investment ya kutoa Gas tu baharini utajenga hydro power ngapi.

Ni mtu anaejiropokea tu hajui finance, hajui uchumi na kuna kikundi tu cha wapuuzi wenzie wanamsikiliza si ajabu hajui Gas inayotoka baharini imechanganyika na maji inabidi uitoe kwanza kwenye maji ndio usambaze na kama unasafirisha uirudishe tena in liquid form.

Ni mtu anaeropoka ujinga tu
Hivi unajua ilani ya ccm ya 2015 ilikuwa na sera juu ya uchumi wa gas ??

Kwahiyo unataka kusema zote hizo zilikuwa ni porojo za ccm ?
 
Sasa wewe si utoe hizo costs?
 
Ujinga wao mpaka unakera how shallow can they be mtu anaongea upuuzi hana chochote anachokijua anaropoka kama vile anaongea na watoto wadogo na watu wazima wanamshangilia.
Hivi wewe kapuku mlala njaa ndio wa kumchalenji Lissu The Greatest ! nani kakudanganya kama una uwezo huo ?
 
Hivi unajua ilani ya ccm ya 2015 ilikuwa na sera juu ya uchumi wa gas ??

Kwahiyo unataka kusema zote hizo zilikuwa ni porojo za ccm ?
Tatizo lenu amsikilizi hivi tunafahamu juzi kupitia Dr Abbas alisema LNG plant itakuwa 8 trillion TZ sh badala ya $30 billlion Zitto na wapuuzi wengine waliokuwa wanashadidia nyuma ya pazia watu walikuwa wanafanya renegotiations ya mikataba mibovu bila ya kuacha utekelezaji mikakati ya kuongeza umeme.

Ebu watanzania tujifunze kuwa na shukran Magufuli is not perfect but he did damn good job in his first kuiandaa nchi kupaa kiuchumi kupitia infrustructure project.
 
Back
Top Bottom