UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Farhia alikuwa kachoka kabisa anaonekana.Lissu the Greatest
Kipindi cha Dk 45 kimegueka cha dk 60,Naona Farhia alikuwa anafurahia madini yanavyoshwa hadi kasahau muda[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Farhia alikuwa kachoka kabisa anaonekana.Lissu the Greatest
Kipindi cha Dk 45 kimegueka cha dk 60,Naona Farhia alikuwa anafurahia madini yanavyoshwa hadi kasahau muda[emoji3]
Wapo wanachungulia na kurudi kwenye vichuguu ...Jasiri haachi asili!Mbna wale nguchiro hawaonekani hapa????
Lissu The GreatestJamaa anatema madini balaa hadi Farhia anaduwaa Leo kwa mara ya kwanza mwaka huu ndio nimekaa dakika 20 kutazama ITV
Mungu ni mwema I agree kwa kumponya na wengi tulimuombea.Mkuu hata wachawi hupumzika kuroga walau siku moja moja.
Mpe credit hata kidogo hata wachawi wanachakumsifu mhanga wa uchawi wao.
Au wewe ndiyo uliyetekeleza lile jaribio la kumuua hivyo roho inakuuma sana ukimuona bado yuko hai ?
Mungu ni mwema bado yupo sana tu jaribu kufanya mengine chuki zako binafsi hazitamuondoa Duniani
Bar maid amekunywa wakati unapataUyu jamaa ni Nina nimeshangaa kipindi kinaisha naambiwa nadaiwa bia 7 nisijui hata nimezinywa vipi
Mbona huyu jamaa kaongea zaidi ya dakika 45 au Farhia Middle alikuwa anaogopa kumkatisha ?Turn and watch now.
Hivi unajua ilani ya ccm ya 2015 ilikuwa na sera juu ya uchumi wa gas ??Kwa watu kama nyie nipe cost ya kutengeneza offshore rig ili utoe Gas, nipe cost ya kutengeneza LNG plant upate Gas, nipe cost ya kutengeneza pipe ya kutoa Gas baharini hadi kwenye LNG plant na kutoka hapo kufika kiwandani.
Halafu linanginisha hizo cost na cost za hydro power uone hiyo investment ya kutoa Gas tu baharini utajenga hydro power ngapi.
Ni mtu anaejiropokea tu hajui finance, hajui uchumi na kuna kikundi tu cha wapuuzi wenzie wanamsikiliza si ajabu hajui Gas inayotoka baharini imechanganyika na maji inabidi uitoe kwanza kwenye maji ndio usambaze na kama unasafirisha uirudishe tena in liquid form.
Ni mtu anaeropoka ujinga tu
Babaako alosema ataigeuza tz kuwa km ulaya mbona husemiUjinga wao mpaka unakera how shallow can they be mtu anaongea upuuzi hana chochote anachokijua anaropoka kama vile anaongea na watoto wadogo na watu wazima wanamshangilia.
Kwa comment moja ya kijinga mnalipwa Tsh ngapi ?I tell huyu mtu inabidi akapimwe akili what a load of nonsense anaongea, hivi kabisa kuna watu wanaamini upuuzi anao ongea.
Sasa wewe si utoe hizo costs?Kwa watu kama nyie nipe cost ya kutengeneza offshore rig ili utoe Gas, nipe cost ya kutengeneza LNG plant upate Gas, nipe cost ya kutengeneza pipe ya kutoa Gas baharini hadi kwenye LNG plant na kutoka hapo kufika kiwandani.
Halafu linanginisha hizo cost na cost za hydro power uone hiyo investment ya kutoa Gas tu baharini utajenga hydro power ngapi.
Ni mtu anaejiropokea tu hajui finance, hajui uchumi na kuna kikundi tu cha wapuuzi wenzie wanamsikiliza si ajabu hajui Gas inayotoka baharini imechanganyika na maji inabidi uitoe kwanza kwenye maji ndio usambaze na kama unasafirisha uirudishe tena in liquid form.
Ni mtu anaeropoka ujinga tu
Mkuu acha uongo JPM Ni Phd ujue....Ila anajua zaidi Dawa za kuua wadydu wa koroshoImewapenyaaaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] magufuri hawezi kumfukia lissu hata nusu tu ... magufuri kichwani hakuna kitu mule
Rais wa nchi lazima aongee zaid ya Dakika 45Kipindi kizuri hadi ITV wamezidisha dakika....si 45 tena
Hivi wewe kapuku mlala njaa ndio wa kumchalenji Lissu The Greatest ! nani kakudanganya kama una uwezo huo ?Ujinga wao mpaka unakera how shallow can they be mtu anaongea upuuzi hana chochote anachokijua anaropoka kama vile anaongea na watoto wadogo na watu wazima wanamshangilia.
Magufuli akiitwa lazima amwage madini kwa Farhia Middle. Baada ya siku mbili mtasikia Farhia kawa DC wa Kigamboni.Kipindi kijacho naomba wamwite jiwe,ili aje kuongelea madaraja,barabara na ndege huku akimalizia kusifia warembo weupe na mambo ya chumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Lisu hakubakizwa Chuoni mlimani awe anamwaga madini pale badala yake wamebaki utopolo kama Kabudi.Mpaka SASA 22:05 bado dada farhia middle na watanzania wanatamani kipindi kiendeleee, lissu wampe siku nzimaaaaaa, sio Kwa madini haya!
Tatizo lenu amsikilizi hivi tunafahamu juzi kupitia Dr Abbas alisema LNG plant itakuwa 8 trillion TZ sh badala ya $30 billlion Zitto na wapuuzi wengine waliokuwa wanashadidia nyuma ya pazia watu walikuwa wanafanya renegotiations ya mikataba mibovu bila ya kuacha utekelezaji mikakati ya kuongeza umeme.Hivi unajua ilani ya ccm ya 2015 ilikuwa na sera juu ya uchumi wa gas ??
Kwahiyo unataka kusema zote hizo zilikuwa ni porojo za ccm ?