Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Kwa mara ya kwanza ITV inaangaliwa dunia nzima
Acha uongo we jamaa...
Watu wanao tazama sasa iv ni 6,145 hawa ndio unaosema dunia nzima..

Kupitia TV na ving'amuzi mbalimbali hawafiki hata watu laki tatu...

Nenda kaombe viewers wa leo wa ITV kupitia startimes, Azam, zuku na DStv.

Kiufupi tu nihivi
YouTube - 6,145
Azam - 43,200
Zuku - 21,042
Startimes - 97,511
DStv - 2,109

Currently statistics.

Jumlisha hapo upate total viewers.

Sasa dunia ina watu wangapi? Hata robo ya Tanzania bado.

Safari hii mnataabu kweli kweli et.
Screenshot_20200903-215111.jpg


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kaongee we kama rahisi
Yaani angelia namfunua upuuzi wake na kuwaonyesha watanzania alivyokuwa mweupe na mambo anayoyaongea ni ujinga mtupu siku nyingine akisikia ana interview na kilatha nakuhakikishia atokei.

Upuuzi mtupu
 
Kweli bwana aitwe Rais wetu ateme madini
Hivi akiongea huwa anapenda kuulizwa maswali,maana mara zote huwa namuona anapenda kuuliza yeye huku akiwa na majibu yake kichwani( hata kama yapo wrong) ili tu aonekane kichwa zaidi mbele za kadamnasi.Mwandishi sijui kama atapata nafasi ya kuchomekea maswali,mzee wa asiyependa kupangiwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom