Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yote Heri kila la kheri....yule Kipara je??? Maana yumo mfumo pia
 
Rais wa TFF
 
Kwakuwa nchi hii kila mtu anaweza kuwa Rais hili haliwezi kuwa jambo la kushangaza.

Ingawaje kama kweli Rais anapatikana kwa mtu kuwa na sifa stahiki basi huyu hawezi kuwa Rais.

Unaposema msomi mzuri umemaanisha nini?
 
Nasema hivi:
Hakuna Muhaya wala munyambo atakayekuja kuwa rais wa nchi hii.
Kosa hilo likifanyika ndani ya miaka miwili tu idara na sekta muhimu za serikali zote zitajaa wanyambo na wahaya.
Kosa hilo haliwezi fanyika hata kidogo siyo urais tu hata uwaziri mkuu hawezipewa mnyambo wala Muhaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…