Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote Heri kila la kheri....yule Kipara je??? Maana yumo mfumo piaWaziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030
Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini
Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,
Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko
Kufika 2030 atakuwa amehumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.
Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu
Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,
Innocent Bashungwa (Mb)
2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani
Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Banda la mbwa la jumba lake la Igoma lina thamani kuliko hiyo nyumbaHiyo nyumba iko nzuri..tena matofali ya kuchoma..
Ngara na Karagwe ni pia na mdomo" homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe"
Sisi ni manabii, jipe muda subiri Kizimkazi amalize awamu yake uoneDuh, unafurahisha sana,na uelewa wako chini sana,urais sio matako,bashungwa hawezi kuwa Rais wa Tanzania, Sina chuki na bashungwa ila huu ndo ukweli
Rais wa TFFWaziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030
Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini
Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,
Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko
Kufika 2030 atakuwa amehumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.
Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu
Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,
Innocent Bashungwa (Mb)
2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani
Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
2025 kombe linaenda KizimkaziHata 2025 apewe tu! Bila ametuchosha akili
Mpaka alipofika kila kitu kinawezekanaHatutaki kuongozwa na mnyarwanda
Huko ni hewa kabisa!2025 kombe linaenda Kizimkazi
Mpiga zumari tu huyo mbona haulizi kama pengn hafit lakini anabebwa kuzunguka ndio kuendesha nchi we mbwigaKote aliko pita ameacha athari gani chanya?
Nasema hivi:Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030
Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini
Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,
Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko
Kufika 2030 atakuwa amehumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.
Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu
Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,
Innocent Bashungwa (Mb)
2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani
Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe.