Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu Kiranga. Umeongea point tupu.

Na hayo ndio maisha ya watanzania tulio wengi. Ili ufike mbali unahitaji godfather.
Naona watu ama hawajui au wamesahau au wanajisahaulisha historia ya Makonda.
 
m
mwigulu je/ huyu bashunngwa mkiendelea kumpigia kampeni mwishowe atarogwa tu
 
Tupe notable achievement moja aliyofanya kwenye wizara alizopita.
Pima tu TAMISEMI yake na hii ya Mchengerwa iliyojaa wizi wa kura, rushwa Almashauri, Hakuna ajira za ualimu na afya n.k
 
Hajui hata sehemu moja vizuri kazungushwa kama tairi bovu
 
Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu
Godfather wangu ni Sit God
Tena wabongo kama wewe mnaojifanya hamna ma Godfather ndio mnao ila hamsemi, mnapiga kimya.

Halafu mkiulizwa siri ya mafanikio yenu utasikia mnasema, Ni God manzeee!

Kumbe nyuma ya pazia una mshua kakuvusha.
 
Kwa mfumo ulivyo sasa hata wakiamua Bambo awe Rahis inawezekana maana sio maamuzi ya wapiga Kura bali maamuzi ya mfumo
 
Twende na Tulia Ackson Mwansasu...

Huyu atatusaidia sana tusisaini mikataba ya ulaghai maana sheria inaonekana imelala pale na CV yake imeshiba hatari.
 
SItta mtu wa Tabora alikutana wapi na vip na Paul Makonda?

Naona kutoka Kolomije had kuwa kijana wa SItta pia ni Jambo la kuhamasisha.

Hata hivyo Kama sijasahau SItta hayupo duniani karibia miaka 10 sasa lakin Makonda still yupo juu.
 
Ikulu itahamishiwa Bukoba na rugha ya taifa itakuwa kihaya.

Mawaziri na vigogo idara nyeti watakuwa wahaya
 
Enough
 

Attachments

  • 20241208_140951.jpg
    77.1 KB · Views: 2
Kuzaliwa maskini sio issue,Issue ni kufa maskini
 
SItta mtu wa Tabora alikutana wapi na vip na Paul Makonda?

Naona kutoka Kolomije had kuwa kijana wa SItta pia ni Jambo la kuhamasisha.

Hata hivyo Kama sijasahau SItta hayupo duniani karibia miaka 10 sasa lakin Makonda still yupo juu.
Msikilize Makonda katembelea kaburi la Sitta akiwa na Mama Sitta, Makonda anasema alivyokuwa anasoma Sitta aliukosa USpika, Makonda akahuzunika sana na kusema nani atamlipia ada?(alikuwa anasomeshwa na Sitta). Mama akamtuliza.

Sitta hata akiwa kafa miaka mingapi, ukweli kwamba Sitta ndiye Godfather aliyempa pande Makonda apate teuzi uko pale pale.

Na kabla ya kujilinganisha na Makonda, inabidi ujiulize, Makonda Godfather wake alikuwa Sitta, wewe Godfather wako nani?


View: https://www.tiktok.com/t/ZP8NB4Xus/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…