Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030

Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini

Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,

Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko

Kufika 2030 atakuwa amehudumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.

Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu

Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,

Innocent Bashungwa (Mb)

2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani

Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Ndio vyema!
 
Ninavyojua mimi Waziri anapohamishwa mara kwa mara maana yake HANA IMPACT na hawataki kumtoa kwenye uwaziri. Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje miaka kumi mfululizo ya Mzee Mkapa kabla ya kuwa Rais. Mwamba Magufuli alikuwa Naibu Waziri wa Miundombinu kabla ya kuwa Waziri kamili wa wizara hiyo zaidi ya miaka Saba ya Mzee Mkapa. Mzee Kikwete alipoingia akampeleka kwa muda mfupi Wizara ya Ardhi baadae Wizara ya Mifugo na Uvuvi kabla hajamrudisha Wizara ya Miundombinu tena na akawa Rais! Kifupi sioni future ya Bashungwa kwenye Urais.

Kama ni future ya Urais, basi naiona ndani ya PM Majaliwa! Mwakani akitolewa kwenye u-PM atakuwa amehudumu miaka kumi bila matatizo yoyote. Akiendelea kuwa PM 2025 - 2030 atakuwa amevunja rekodi ya u-PM hivyo kuwa na sifa thabiti za Urais kuliko mtu yoyote Tanzania!
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030

Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini

Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,

Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko

Kufika 2030 atakuwa amehudumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.

Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu

Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,

Innocent Bashungwa (Mb)

2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani

Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Pole
 
Sasa km Inno anaweza kuwa rais kwann isiwe kwa Luca? Likija suala la kupachikana veggies hawajali hilo km wewe ulivyotueleza.!
Luka jaman awe Rais? ,msipende kuwaza ivyo,inaweza tokea na mnamjua Luka alivyo na akili mgando ,hata uwezo wa kufkir mnaujua kupitia thread zake za kijinga na uvivu wa kufkir ,anaweza kuamua nn? Mbali na kusifia kla kitu? Tukatae Kwa maombi jaman
 
Kwa veggies wowote wanampa wala sio la kushangaa mifano si tunayo au 😜
 
Ni nyumba ya mgongo wa tembo,chumba na sebule,pembeni kuna slope mbili,moja hutumika kama jikoni nyingine ni ya watoto.

Baada ya mambo kuwa mazuri aliwajengea wazazi wake ghorofa moja la kisasa huko Igoma Mwanza,
View attachment 3173181
Nikiangalia nyumba hizo nasema Mungu yupo
Sasa wewe ndo utuambie ukweli, huyu jamaa huko kolomije alikozaliwa, anaitwa nani?
Daudi Bashite?
Paul Makonda?
 
Ni Kiongozi mzuri sana, na itapendeza akifika huko, kama si yeye Basi awe Doto!
 
Marais hapa nchini ndio hupitapita hivyo?
hahaaa unachekesha,Mheshimiwa yupo poa.Ila kigezoo ulichotumia et kapitishwa wizara 7 kujua yaliyomo,kwasasa mfumo Hauna ushirikiano na unachoamini.Mbona Mimi nimehudumu wizara 6 na sioni Dalili za kuwa PM sinaaa.
 
Vinasaba vya Kinyarwanda na ukabaila vinamnyima nafasi, huwenda hata huo uwaziri aliopewa sasa hivi asidumu nao.
 
Tuendelee kuomba Lisu asichukue uenyekiti wa CDM maana ni balaa na nusu,hii 2025 inawezekana ikawa moto daah
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030

Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini

Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,

Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko

Kufika 2030 atakuwa amehudumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.

Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu

Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,

Innocent Bashungwa (Mb)

2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani

Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Hamna kitu. Kama si ndoto za mchana ni jinamizi litakalokusumbua asipokuwa rais. Hana sifa wala sababu za hata kufikiriwa achia mbali kuwa. Amelifanyia nini taifa zaidi ya kujipendekeza na kugeuka chawa ili kuishi? Katika genge la CCM hakuna anayefaa hata kuongoza kundi la inzi au chawa.
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030

Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini

Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,

Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko

Kufika 2030 atakuwa amehudumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.

Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu

Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,

Innocent Bashungwa (Mb)

2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani

Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Ngoja na mimi mtabirie Jeniter Mwagama maana nae anaendelea kupita kule , na hakunaga mkeka huwa unamluka ,maana inaonekana tz Urais limekua jambo jepesi.

Rais anatakiwa awe anaijua dunia na nchi yake kwa undani mengine ya ziada sana
 
Pima tu TAMISEMI yake na hii ya Mchengerwa iliyojaa wizi wa kura, rushwa Almashauri, Hakuna ajira za ualimu na afya n.k
Hakuna lililobadilika huko iwe kwa wakati wake au huyo aliyepo kwa sasa.
 
Huwezi kuwa inspired na jambazi na fisadi. Huyu jamaa amefika hapo alipo kwa kujipendekeza, ufisadi,ukatili na usanii. Bora nife maskini kuliko kufikia mafanikio kwa njia hiyo.
Mkuu, mie namaanisha kuwa inspired kubadilisha maisha ya wazazi hata kwa kidogo tunachojaaliwa.. Hayo ya kupata Mali kwa namna gani ni issue ingine maana mafanikio ya watu yana siri nyingi sana na kamwe huwezi kujua mtu amepitia njia gani
 
Back
Top Bottom