Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Ukiona siri imevuja demu analiwa uloda ujue ni malaya hakuna mke hapo wanachapa wengi.
 
Kama huna cha kukoment pita kimya mkuu kuliko kuwafundiasha watu maisha
 
Well said mkuu well said
Sina cha kuongezea hapo.
 
Mke wa jamaa tushamzoea na michepuko yake.
 
Shape ya kawaida ila sura nzuri na rangi imepoa sana. Kiufupi ni mwanamke mzuri ila ndio ivyo kama haleti amani ndani ya nyumba uzuri wote unafutika
Kuna mwanamke mmj mke wa MTU. Mumuewe Ana sukari.l jamaa alikuoa akiwa 18 na jamaa akiwa 30 mke Sasa ana 36 mume50s ..mke amezidi kuwa mzuri. Anadai kabisa jamaa mambo yake hayako poa. Emegine
 
Viburi flow, Hatukutani kwenye dirisha la Malipo
 
Kuchapiwa kusikie kwa mwenzio, kuna wengine wana chapiwa then wanapinduliwa mazima.

Sasa ukijifanya unajua kubembeleza, demu anakukomoa kwenye status, kwanza kwenye profile anamweka mwana, kwenye status wanajipost mikao ya mahaba yaani full kukurusha roho. Ndio maana demu akikupiga chini,tulia jipe moyo futa kabisa namba yake ya simu, vumilia yatapita na utaya sahau.

Ukijifanya unajua kubembeleza tunaweza tukakukosa.

Ila na muonea huruma mtoto kwani atalelewa na mama tuu. Kuna watu watasema "mama yake ana hela ",hawajui malezi ya baba na mama ni zaidi ya hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…