Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Sina hulka ya kufurahia matatizo ya mwenzangu haijalishi tumekwazana vipi.

Jamaa kumpost na kumsifia mke wake watu walikuwa wanachukia sana, nickson Simon Nikki wa pili sio wa kwanza kuchapiwa alichapiwa mh wa msoga sembuse nikki!

Watanzania tukiacha hii hulka ya kufurahia matatizo ya wenzetu tutapiga hatua kimaendeleo
Ukiona siri imevuja demu analiwa uloda ujue ni malaya hakuna mke hapo wanachapa wengi.
 
Yaani mtu unaacha shughuli zako za kuitafutia familia yako ugali unatenga mda wa kuja JF kushabikia matatizo ya mwenzako mitandaoni kweli!!?? Usikute wewe ni sehemu ya tatizo hili sema unajifanya umenyapia hii habari na kuileta humu mtandaoni kutimiza chuki zako, wewe ni mjinga huna akili.
Kama huna cha kukoment pita kimya mkuu kuliko kuwafundiasha watu maisha
 
Hapana mkuu. Ni jambo lililokuwa wazi sema ndo tulikuwa hatujui siku wala saa atakapokuja yule mgongaji wa ile Tandam... Joan ni kitu kikali mno. Ana weupe wa asili sio mkorogo... demu kama yule huwa wanapenda watu wahuni wahuni tofauti na Nikki ambaye ana asili ya upole na utulivu.
Well said mkuu well said
Sina cha kuongezea hapo.
 
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Mke wa jamaa tushamzoea na michepuko yake.
 
Shape ya kawaida ila sura nzuri na rangi imepoa sana. Kiufupi ni mwanamke mzuri ila ndio ivyo kama haleti amani ndani ya nyumba uzuri wote unafutika
Kuna mwanamke mmj mke wa MTU. Mumuewe Ana sukari.l jamaa alikuoa akiwa 18 na jamaa akiwa 30 mke Sasa ana 36 mume50s ..mke amezidi kuwa mzuri. Anadai kabisa jamaa mambo yake hayako poa. Emegine
 
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenviu.
Viburi flow, Hatukutani kwenye dirisha la Malipo
 
Kuchapiwa kusikie kwa mwenzio, kuna wengine wana chapiwa then wanapinduliwa mazima.

Sasa ukijifanya unajua kubembeleza, demu anakukomoa kwenye status, kwanza kwenye profile anamweka mwana, kwenye status wanajipost mikao ya mahaba yaani full kukurusha roho. Ndio maana demu akikupiga chini,tulia jipe moyo futa kabisa namba yake ya simu, vumilia yatapita na utaya sahau.

Ukijifanya unajua kubembeleza tunaweza tukakukosa.

Ila na muonea huruma mtoto kwani atalelewa na mama tuu. Kuna watu watasema "mama yake ana hela ",hawajui malezi ya baba na mama ni zaidi ya hela.
 
Back
Top Bottom