Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Umetisha blood, hyo formula tunajia ss tuliosoma cuba
 
Ha haaa eti unamsubiri Zamaradi.
Ila haya mapenzi ni bora upige kimya kuliko kujishaua kwenye mitandao. Unaweza pigwa tukio ukaishia kujinyonga bure.
Mtu kujinunulia range kwa hela ya ruge tukadanganywa ni mme kanunua, ili tujiskie hatujawahi pendwa, haitoshi bado kumtundika bangoni atangazwe BBC🤣🤣🤣
 
Oukeeee vizuri tulishapata nani atuletea ubuyu mjini huyu mzazi mwenza na sheby siku asipeleke matumizi kila kitu kitajulikana 🤣
Kumbe ndo maana valentine hii imepoa nilijua atamtundika sayari ya mars loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…