OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Yule mama Zuri wahuni wanajipigiya 😳😳😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daa! niliona majuzi AY amepost picha yuko Rwanda, kwenye picha yupo na mwanae. nikajua bado wapo pamoja na mama wa mtoto wake. kumbe sio!Mda Sanaa mbona na demu anaposti jamaa mwingine wakiwa kwenye zero distansi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
We kweli hujielewi, ana hela gani? Utakuwa masikini Sana wewe mpaka unasema jamaa ana hela?Looh!
Wanawake wanataka nn?? Nikki ana hela, na Nikki anafanya mazoezi hivyo kwa vyovyote ana nguvu za kiume.
Tunalipia shilingi ngapi kuonaNjoo pm nikubless na video
Umetisha blood, hyo formula tunajia ss tuliosoma cubaUkioa Malaya ni hakika atagongwa
Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays
Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana
Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...
Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
KabisaNi mambo binafsi, msitirini mwenzenu
We mbona imekuuma hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Acha uzwazwa nawe. Kwani kusema hivyo ndo kutoheshimu wanawake? Kwani uongo kuwa wewe umezaliwa kutokana na mzee wako kushindwa kujizuia na kumwaga shahawa ndani ya uchi wa mama yako?
Na bora angekumwaga chooni tu kwenye nyeto huna faida.
Msukumawababa🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo kwa masanja nmecheka kama mwehu[emoji81][emoji81][emoji81] msukumawababa[emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 DNA taabu kweriii kweriiiiKuna uzi ulishaletwa hapa kitambo kido... Ulisema " jamaa siku akimegewa atajiua"alikuwa akimpostpost sana
Mtu kujinunulia range kwa hela ya ruge tukadanganywa ni mme kanunua, ili tujiskie hatujawahi pendwa, haitoshi bado kumtundika bangoni atangazwe BBC🤣🤣🤣Ha haaa eti unamsubiri Zamaradi.
Ila haya mapenzi ni bora upige kimya kuliko kujishaua kwenye mitandao. Unaweza pigwa tukio ukaishia kujinyonga bure.
Ni burudani tu. mchungaji anasema mke wake alikuwa bikra🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyieee watu mko serious hivi. Lol
Oukeeee vizuri tulishapata nani atuletea ubuyu mjini huyu mzazi mwenza na sheby siku asipeleke matumizi kila kitu kitajulikana 🤣Zama Hana bahati ya mapenzi ila ana mapenzi ya kweli mnooo
Shabani nadhani ana mtoto Kwa demu mwingine kama ntakua siku Ile nliskia vzr Kwa wale wambea,so whatever anafanya ni Ile 'acha nijishebedue mke mwenzangu anijue',na yule Mpana sana whatever they are showing us in public is not reality Huko kwenye Kuta nne kunafuka Moshi
Hata Ruge Zama alimpenda mnoo bahati mbaya tu jasiri Nae alikua kit...mb....mnooo
Ila Kwa kutulia ametulia mnoo yule dada na akipenda anapenda mnoo na mvumilivu na sidhani km ataondoka Kwa Sheby
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uchawi bro. Watu waliotoka kwenye jamii zenye hulka za kichawi ndio zao fuatilia utakuja kuniambia. Roho mbaya mbaya tu chuki chuki tu na kukariri makosa ya watu. Usiwalaumu ndivyo alivyolelewa.Hivi kwanini wabongo mnapenda sana habari mbaya mbaya za watu!!!
Huyo Mwanamke ni kabila gani??Kwa mara nyingine, aachane na hiyo umbwaaaa
Ila yule dada ana pilikapilika jamani😅😅😅, any way hayatuhusu...watasema tunamwonea wivuMtu kujinunulia range kwa hela ya ruge tukadanganywa ni mme kanunua, ili tujiskie hatujawahi pendwa, haitoshi bado kumtundika bangoni atangazwe BBC🤣🤣🤣
Kama masanja alivyopigwa tukio. Inaumaa.Acha kabisa unapigwa tukio mpk unaona kizunguzungu teh teh,. Unaona bora umpende aliyekuzaa manina.
Badilikeni kaka yangu...dunia ya sasa imevaa bukta 😅Demi wangu.
Daah...