Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Ukioa Malaya ni hakika atagongwa

Tatizo tulilo nalo 75% ni malaya nowadays

Hapa ndo tunarudi kwenye point vijana msioe kwa ndoa wekeni wanawake kinyumba bila ndoa ili mda wowote ule unaacha unapita zako kushoto...miliki ghetto kali huwezi kukosa mwanamke wa kung'ang'ania humo hapo ndo unazalisha mnaishia kihunihuni likibumbuluka unapita kushoto easy in easy out...muwe smart vijana

Sheria ya miezi 6 haina prove ya uhakika mahakamani ipuuzieni...

Msiwe wepesi kuoa makanisani labda km muislam...
Umetisha blood, hyo formula tunajia ss tuliosoma cuba
 
Ha haaa eti unamsubiri Zamaradi.
Ila haya mapenzi ni bora upige kimya kuliko kujishaua kwenye mitandao. Unaweza pigwa tukio ukaishia kujinyonga bure.
Mtu kujinunulia range kwa hela ya ruge tukadanganywa ni mme kanunua, ili tujiskie hatujawahi pendwa, haitoshi bado kumtundika bangoni atangazwe BBC🤣🤣🤣
 
Zama Hana bahati ya mapenzi ila ana mapenzi ya kweli mnooo
Shabani nadhani ana mtoto Kwa demu mwingine kama ntakua siku Ile nliskia vzr Kwa wale wambea,so whatever anafanya ni Ile 'acha nijishebedue mke mwenzangu anijue',na yule Mpana sana whatever they are showing us in public is not reality Huko kwenye Kuta nne kunafuka Moshi
Hata Ruge Zama alimpenda mnoo bahati mbaya tu jasiri Nae alikua kit...mb....mnooo
Ila Kwa kutulia ametulia mnoo yule dada na akipenda anapenda mnoo na mvumilivu na sidhani km ataondoka Kwa Sheby

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Oukeeee vizuri tulishapata nani atuletea ubuyu mjini huyu mzazi mwenza na sheby siku asipeleke matumizi kila kitu kitajulikana 🤣
Kumbe ndo maana valentine hii imepoa nilijua atamtundika sayari ya mars loh
 
Back
Top Bottom