Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Hapo unatamani wewe ndio ukachukue hiyo nafasi ya huyo demu?
 
Itakuwa imerushwa na watu wa kataa ndoa. Hawa jamaa wana kampeni Kali. Msiwachukulie kispoti spoti nasikia pia wana mikwanja ya kampeni. Waundiwe jeshi maalum la kuwakabiri b4 its too late
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Sio kampeni mkuu ndio uhalisia wenyewe sahivi wanawake wenyewe wanawadharau wanaume wanao oa maana wanajua Hali halisi.. Kugongewa nnje hakuhepukiki kwenye hii era

Na kingine ni kipi mwanaume unacho Pata kwa mwanamke ukioa.. Ambacho huwezi kukipata huku nnje??
 
Wengine hamjashikwa kwa ushahidi mnajiona watakatifu,vificho vinawaokoa sana,na tamaa za mwili zimewazidi mmekua mateja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] msihukumu kabla hujahukumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…