MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Huo wimbo aliutunga baada ya kuchapiwa.😅Unammanya kester emeneyer? Jamaa ana goma linaitwa zinzi wimbo naukubali hatari,alikuwa ana upenda mama yangu kipenzi (rip),kila nikiusikia namkumbuka maza,ukizingatia aliondoka nikiwa mdogo, primary skul.