Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio mzee ulibambikiwa bao.Nimewahi kupitia anayopitia Nikson sasa hivi !
Ni kipindi kigumu mno.
Mtu unaweza kufurahi anachopitia Ila Cheka Sana, furahi Sana, imba Sana Ila usiombe ukapitishwa kwenye huu mtihani WA mtoto wako WA Kwanza kuambiwa sio WA kwako. Na mahusiano yako on spot yanakuwa yanaharibika Kwa kipindi hicho hicho. Acha kabisa unaweza kuwa chizi
Namuombea Nikson Hold On naamini utakuwa umefanya maamuzi ya busara na ninakuombea mungu akupe nguvu na busara. Ukiweza kuvuka hiki kipindi unaenda kuwa Nickson Bora zaidi ya ulivyokuwa.