Kijana mimi siongei vitu vya kubahatisha. Hawa watu kuwaelewa si lazima niwe miongoni mwao au nisiwe miongoni mwao ni swala la kujielimisha na kupata taarifa sahihi.
Wewe hauna taarifa sahihi kuwahusu hawa watu. Ngoia nikuelekeze na usibishane na mimi bali ingia mtandaoni na wewe upate kujifunza.
Ukisikia mwanaume au mwanamke ni Straight au kwa majina mengine Heterosexual hiyo humaanisha huyu muhusika yupo normal kwenye sexual orientation yaani ni mtu ambaye anavutia na jinsia tofauti na ya kwake. Kama ni mwanaume anavutiwa na mwanamke tu na kama ni mwanamke anavutiwa na mwanaume tu si vinginevyo. Mfano baba yako ni straight ndio maana akafunga ndoa na kuishi na mama yako.
Gay hutumika kumaanisha mwanaume ambaye anavutiwa na wanaume wenzake yaani ambaye anakuwa anaingiliwa ila haingilii ila ukiomuona haonyeshi sana dalili ingawa kwa wanaowafahamu wanaume wa hivi unajua tu namna anaongea na wanaume wenzake na tabia zake za kujipeleka kwa wanaume. Zamani walikuwa wanatumia for both wanawake kwa wanaume ila sasa wamebadili wanawake wanatumia Lesbian wanaume gay.
Bisexual ni mwanaume au mwanamke ambaye anafanya na jinsia yake lakini pia na jinsia tofauti. Mfano Mwanaume kaoa mke wake na anafamilia ila nje anatafuna wanaume wenzake huyo ni bisexual.
Kuna Transexual huyu ni mwanaume au mwanamke ambaye ameamua kujibadili maumbile kwa kuwekeza viungo kama matiti, hips, kurekebisha muonekano wa sura uwe wa kike na transplant na facial adjustments nyinginezo. Au kama ni mwanamke ni kutoa matiti, kutumia hormones pills za kuotesha ndevu na manyoa mwilini ili awe kama mwanaume. Aina hii ya upasuaji huitwa Gender Reassignment surgery.
Halafu kuna Queer hawa ni kundi la wale watu wasiojielewa wanasimama wapi yaani hajisikii kuwa mwanaume, hajisikii kuwa mwanamke kwa kifupi hajitambui ndio hawa husikia wanalazimisha kuitwa kwa pronouns kama "They, them, It" ukimwita mfano yeye ni mwanamke ukamwambia her au she mnagombana na anaweza hata kukushitaki kwa ubaguzi. Ni vichaa.
So ndugu usichukulie poa kila unaemkuta mtandaoni. Mimi hawa watu ninawafuatilia na ninafahamu hata chanzo cha wao kuwa hivyo. Ni vema ukajifunza kwa wengine badala ya kuhisi unajua zaidi yao haikusaidii chochote.