Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,815
I dont get it ndo maana mi naonaHaya mambo siyaelewi, nyumba kubwa na gate kali, bwana na mke wanafanya kazi kubwa zinazoingiza kipato cha uhakika. Ajabu ni kwamba shamba boy anamgonga mke wa bosi. Hii imekaaje? Mwanamke anakosa mtu tena mwenye pesa kama yeye achepuke nae? Huenda ni swala tu la "upelekaji wa moto".
Mapenzi isn't= pesa
Maana wake za watu ni cheap mpaka raha yaani