Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Haya mambo siyaelewi, nyumba kubwa na gate kali, bwana na mke wanafanya kazi kubwa zinazoingiza kipato cha uhakika. Ajabu ni kwamba shamba boy anamgonga mke wa bosi. Hii imekaaje? Mwanamke anakosa mtu tena mwenye pesa kama yeye achepuke nae? Huenda ni swala tu la "upelekaji wa moto".
I dont get it ndo maana mi naona

Mapenzi isn't= pesa

Maana wake za watu ni cheap mpaka raha yaani
 
Yaani Mungu ampe subira Yuko ktk Hali ngumu sana kipindi hiki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hatari nimeona kuna mtu ameweka clip hapa anasema hata Joan na yeye amefuta picha za Nikki zote,inasikitisha sana,demu naye jeuri kweli mbwai mbwai anakomaa na pori kama morani wa kimasai.
 
Haya mambo siyaelewi, nyumba kubwa na gate kali, bwana na mke wanafanya kazi kubwa zinazoingiza kipato cha uhakika. Ajabu ni kwamba shamba boy anamgonga mke wa bosi. Hii imekaaje? Mwanamke anakosa mtu tena mwenye pesa kama yeye achepuke nae? Huenda ni swala tu la "upelekaji wa moto".
Shamba boy atakuwa afukunyua mtr
+ shw za kibabe

Ova
 
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu.

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.

# wakuu shukrani sana naona thread yangu ya uongo uongo inaenda viral kweli kweli,hatimaye utafiti wangu umekamilika wabongo tunapenda umbeya,chuki binafsi ,wivu na kila aina ya chuki Ahsanteni kwa support wakuu#
Hatari
 
Sina hulka ya kufurahia matatizo ya mwenzangu haijalishi tumekwazana vipi.

Jamaa kumpost na kumsifia mke wake watu walikuwa wanachukia sana, nickson Simon Nikki wa pili sio wa kwanza kuchapiwa alichapiwa mh wa msoga sembuse nikki!

Watanzania tukiacha hii hulka ya kufurahia matatizo ya wenzetu tutapiga hatua kimaendeleo
Baada ya kumaliza chuo cha ualimu nachingwea huko liwale siyo!
 
Mie mke sijampa priority ki ivyo ya kuniumiza. Nilipooa nilijua naa consequences or negative side ya ndoa. So huwa na rehearsal always Naona wife analizwa na lijamaa linapumua na push up zake so nakuona navyo handle my brain. Ni sawa na soldiers wanavyo handle kifo vitani kwani huwa hawajui kuwa watakufa ama kuuliwa. Ishu Ni kuandaa mind positively ili negative itakapokuja ibalansi mzani.
Big brain
 
Back
Top Bottom