Kwahio mzee ulibambikiwa bao.Nimewahi kupitia anayopitia Nikson sasa hivi !
Ni kipindi kigumu mno.
Mtu unaweza kufurahi anachopitia Ila Cheka Sana, furahi Sana, imba Sana Ila usiombe ukapitishwa kwenye huu mtihani WA mtoto wako WA Kwanza kuambiwa sio WA kwako. Na mahusiano yako on spot yanakuwa yanaharibika Kwa kipindi hicho hicho. Acha kabisa unaweza kuwa chizi
Namuombea Nikson Hold On naamini utakuwa umefanya maamuzi ya busara na ninakuombea mungu akupe nguvu na busara. Ukiweza kuvuka hiki kipindi unaenda kuwa Nickson Bora zaidi ya ulivyokuwa.
Fanya kunitumia mkuuKinachouma kwenye kuchapiwa, ni vile manzi anavyokuwa anatoa ushiriakiano. Ndio maana kwenye kufumania, mwenye mke nguvu zinamuishiaga.
Sasa mfano hii video, kama mh DC kaiona, unadhani maumivu yake yapoje? Maana sidhani kama mkewe huwa anajiachiaga vile, au kufurahia kwa kiwango kile. Apige chini tu
Mjomba haya mambo sio poa omba mungu usiyapitie. Narudia tena kuna mitihani omba Sana mungu asikupitishe.Kwahio mzee ulibambikiwa bao.
Kama pale ikichomoka manzi anavyoirudishia. Inauma sanaKinachouma kwenye kuchapiwa, ni vile manzi anavyokuwa anatoa ushiriakiano.
Huo ni msala babu mi nahisi ntachinja mwanamke.Mjomba haya mambo sio poa omba mungu usiyapitie. Narudia tena kuna mitihani omba Sana mungu asikupitishe.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Dogo kufanana na wewe sio kigezo cha kutopigwa. Unaweza ukafanana nae somehow ila damu ikawa sio yako.Ila dogo mbona kafanana naye ?
Tuma na kwangu plsNtumie
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 JULIANA KANYOMOZI lazma aishi nae tu.Noma sana aiseee! Kwahiyo CPA alikuwa anauza mechi fresh tu huku akiwa na "Msomi wa Acity Phd"? Namshauri "Kantre Waidi" akapime "Drum" maana picha sawa amefuta ,je juliana kama ipo ataifuta?
Ngoja ntakuchekia nikutumie.Naomba link kama unayo [emoji16][emoji16]
Mwanamke ni mwanamke tu miaka hii wanapishana padogo sanaIla wanawake makatili sana daa.
Nimewahi kusikia nikki anasema watu wanafikilia wachaga wanapenda pesa kktu ambacho sio kweli.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kmmmk watu watajifunza sasa kwamba wake sio billboards!MC pilipili juzi hapa alikuwa na msala huo huo demu wake kagongewa. Na mambo yapo hadharani kabisa.
Kweli mkuu ngoja nisubiri link.Mwanamke ni mwanamke tu miaka hii wanapishana padogo sana
Akikujibu ni tagSeriously au utani?
Wee endelea kupambania tuu hahhaaKama pale ikichomoka manzi anavyoirudishia. Inauma sana
Tumie na mimiNgoja ntakuchekia nikutumie.
Atachomoa ila sio kwa chalii halafu fogo kinyama, unamuendea with full confidence, unasukuma 2023 Rangerover. Unanukia manukato ya gharama with classic apparel atachomokaje yani. You are the man of her dreams yani hawezi kubali kuipoteza hio nafasi hata kwa sekunde. Lazma upite nae tu.Sifurahii kilichompata namuonea huruma kinoma. Lakini mchizi naye alikua na ushamba sana. Mambo ya kumuanikaanika mwanamke wako ovyo unawapa mshawasha timu majaribio waone hasa kinachosifiwa. Na wanawake hawalazi damu ukienda round 2 akichomoa una mkosi ukaoge.
Mkuu kwani na wewe ni KATAA NDOA🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kmmmk watu watajifunza sasa kwamba wake sio billboards!
🤣 Mi sishabikii hilo but i know how to run shit. Family weka behind the scenes achana na kupost post mke sijui bla bla blah. Unakaribisha wachawi tu.Mkuu kwani na wewe ni KATAA NDOA