Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wabongo wanaringa sana wakiwa na vichupa vya koneksheni.Wakuu mbona mazaga hayo hamtutumii?
Tatizo tunaowapambania ndo hawa wanatusaliti mimi sijaoa lakini nikijua demu wangu anagongwa na njemba nyingine naumia.Wee endelea kupambania tuu hahhaa
Hii haupo mkuu ni watu wameamua kuanzisha rumous, lakini haipo na hakuna hata mmoja humu katumiwa au kuipata,Wabongo wanaringa sana wakiwa na vichupa vya koneksheni.
Acha hii ya mke wa Nikki mimi mpaka leo sijapata ya Uwoya nasikia tu K yake mbaya mara ana vuzi la kipilipili
Tugawane dhambi hizo wadau
Hapa kidogo umenituliza.Hii haupo mkuu ni watu wameamua kuanzisha rumous, lakini haipo na hakuna hata mmoja humu katumiwa au kuipata,
Na pia tupo katika group za rada kali (shit update groups) hili zaga halijatua huko, kukitokea updates kule dk 3 huwa nyingi mzigo unakuwa updated maapema
so relax
Nikki alioa?Tukiwaambia KATAA NDOA mnaanza kusema 'Ooh nyinyi mashoga nyinyi watetezi wa mashoga mwingine hakujui anakuita shoga kisa tu eti umesema KATAA NDOA', haya sasa mjifunze kwa kutulia
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu.
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
# wakuu shukrani sana naona thread yangu ya uongo uongo inaenda viral kweli kweli,hatimaye utafiti wangu umekamilika wabongo tunapenda umbeya,chuki binafsi ,wivu na kila aina ya chuki Ahsanteni kwa support wakuu#
Mkuu wewe unaelewa Nini kuhusu ushoga naona hamjitambuiKijana mimi siongei vitu vya kubahatisha. Hawa watu kuwaelewa si lazima niwe miongoni mwao au nisiwe miongoni mwao ni swala la kujielimisha na kupata taarifa sahihi.
Wewe hauna taarifa sahihi kuwahusu hawa watu. Ngoia nikuelekeze na usibishane na mimi bali ingia mtandaoni na wewe upate kujifunza.
Ukisikia mwanaume au mwanamke ni Straight au kwa majina mengine Heterosexual hiyo humaanisha huyu muhusika yupo normal kwenye sexual orientation yaani ni mtu ambaye anavutia na jinsia tofauti na ya kwake. Kama ni mwanaume anavutiwa na mwanamke tu na kama ni mwanamke anavutiwa na mwanaume tu si vinginevyo. Mfano baba yako ni straight ndio maana akafunga ndoa na kuishi na mama yako.
Gay hutumika kumaanisha mwanaume ambaye anavutiwa na wanaume wenzake yaani ambaye anakuwa anaingiliwa ila haingilii ila ukiomuona haonyeshi sana dalili ingawa kwa wanaowafahamu wanaume wa hivi unajua tu namna anaongea na wanaume wenzake na tabia zake za kujipeleka kwa wanaume. Zamani walikuwa wanatumia for both wanawake kwa wanaume ila sasa wamebadili wanawake wanatumia Lesbian wanaume gay.
Bisexual ni mwanaume au mwanamke ambaye anafanya na jinsia yake lakini pia na jinsia tofauti. Mfano Mwanaume kaoa mke wake na anafamilia ila nje anatafuna wanaume wenzake huyo ni bisexual.
Kuna Transexual huyu ni mwanaume au mwanamke ambaye ameamua kujibadili maumbile kwa kuwekeza viungo kama matiti, hips, kurekebisha muonekano wa sura uwe wa kike na transplant na facial adjustments nyinginezo. Au kama ni mwanamke ni kutoa matiti, kutumia hormones pills za kuotesha ndevu na manyoa mwilini ili awe kama mwanaume. Aina hii ya upasuaji huitwa Gender Reassignment surgery.
Halafu kuna Queer hawa ni kundi la wale watu wasiojielewa wanasimama wapi yaani hajisikii kuwa mwanaume, hajisikii kuwa mwanamke kwa kifupi hajitambui ndio hawa husikia wanalazimisha kuitwa kwa pronouns kama "They, them, It" ukimwita mfano yeye ni mwanamke ukamwambia her au she mnagombana na anaweza hata kukushitaki kwa ubaguzi. Ni vichaa.
So ndugu usichukulie poa kila unaemkuta mtandaoni. Mimi hawa watu ninawafuatilia na ninafahamu hata chanzo cha wao kuwa hivyo. Ni vema ukajifunza kwa wengine badala ya kuhisi unajua zaidi yao haikusaidii chochote.
Hakuna kinachotokea huu sio umbea mzee grow up hii ni mada mezani watu wanatoa michango yako,Kweli yaan wabongo inaonekana tunapenda sana umbea
Alihisi ametia mimba akapata mtoto akachumbia kumbe akasahau anamchumbia mke wa watu,
Nimependa hii πππNa mimi mnitumie tugawane hizo dhambi labda tutapa maufundi mapya kutoka kwa mwanamke mwenzetu...
Nasikia kaachia PIN mpya na Wala Wala napita street nakuta bodaboda wanaisikiliza kwa makini sana,Tatizo tunaowapambania ndo hawa wanatusaliti mimi sijaoa lakini nikijua demu wangu anagongwa na njemba nyingine naumia.
Huwa nawaza sana wanetu wanaochapiwa wake zao wa ndoa wanaumia jinsi gani
Nikki alikuwa anaturingishia mke wake insta saivi kafuta picha zake zote. Chezea maumivu ya kuchapiwa wewe π€£π€£π€£
Ngoja niitafute itahit hiyo. Kama mzee mzima the kankara yumo ndani itakuwa bonge la dundoNasikia kaachia PIN mpya na Wala Wala napita street nakuta bodaboda wanaisikiliza kwa makini sana,
Humo ndani amechanachana km alivyochana zile picha za Insta, we itafute uisikie mimi nimeisikia kwa mbaaali,Ngoja niitafute itahit hivyo. Kama mzee mzima the kankara yumo ndani itakuwa bonge la dundo
Kwanza haya makanisa mm nimeshaanza kuona ni biashara za watu,sitaki hata mazoea nayo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mi nashangaa eti watu wanaogopa sheria iliowekwa na binadamu mwenzao. Eti msitengane hadi kifo kikiwatenganisha. Mtu akileta umama anaachwa tu kiroho safi
Hii ndio habar kwa sasa labda Countrywide aje alitolee ufafanuziKuna tetesi hawa watu wana bifu fulani, Mwenye kuelewa kwa kina atujuze!
Wanawake MUNGU anawaona mnajua?Hii ndio habar kwa sasa labda Countrywide aje alitolee ufafanuziView attachment 2527280
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ JULIANA KANYOMOZI lazma aishi nae tu.
Kwani Mange Kasemaje au bado hajasema? πππHii ndio habar kwa sasa labda Countrywide aje alitolee ufafanuziView attachment 2527280
Babu,nimekwambia wanavyo-categorize wao waliopo kwenye dunia ya machoko siyo oxford dictionary,una shida gani!?Soma hapo. View attachment 2527252
Ulimuonja zama?Sio hana bahati she isn't cute at all. Demu kama Zama unakuwa nae sababu tu ana tabia nzuri ila kwa mvuto hana na vile kashazaa zaa hata ile kusema unainjoy K ni uwongo. Ni kumuonea huruma asiumie tu ila huwezi fake for long utatafuta ka cute bebi girl ili ufurahie active sex.
Zama ni mwanamke mwenye adabu but anaboa mapema na hakupi mwashawasha wa mapenzi kabisa. Atajitahidi ila unakuta tu hisia zinakuwa mbali sababu hakupi excitement kwa bed.
Mji huu ukiwa na jala ndio dah its really hard. Unakuwa na demu kama yule alee watoto tu ila for fun sex you gotta catch somebody else.