Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

# wakuu shukrani sana naona thread yangu ya uongo uongo inaenda viral kweli kweli,hatimaye utafiti wangu umekamilika wabongo tunapenda umbeya,chuki binafsi ,wivu na kila aina ya chuki Ahsanteni kwa support wakuu#[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tinajua umepewa onyo.au mwanasheria wako yuko nje ya nchi 🤣🤣🤣
 
Kumbe kuna connection mjini hata hujanambia , [emoji16][emoji16]
Akuambie nan? Huna marafiki? Mie mzuri kukiwa na connection, bila hvyo ni mbayas? Utapata unakochezagaaa.

Just jokes, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na imekuja role mpya inaitwa "sides" huyu yeye hata hajisikii kuwa hivyo vyote, na sio straight.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipoo mbna.
 
Mmmmh labda Gay asiyekua na uelewa, ila sometimes ku pretends tyuuh. By the way Bisexuals wamejaaa mnooooo.
Lol
 
Mheshimiwa tafuta aliyekuwa low key mbona wapo ila ule sawa nae Kielimu ya fedha au kakuzidi sio wako ..

Hutaweza kumcontrol Maisha .
Ni kweli...unajua wanaume tunapenda kujitesa bure...kaa na mwanamke unaweza kumuongoza....unakaa na mwanamke mbishi au kakuzidi elimu au kakuzidi kipato au anapenda mahitaji makubwa ambayo yapp nje ya uwezo wako..utajiua na stress.....

Oa mwanamke ambaye unaweza kumuongoza ( kumuongoza siyo kumnyanyasa, tusichanganye mambo hapa). Then, tengeneza nae familia safi kabisa..furahia maisha basiiii...no stress.

Sio unakaa na mwanamke muda wote unamashaka...utajitesa bure tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…