Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Eti Irene Uwoya vuzi lake la kipilipili. Nimecheka ya wabongo
 
Katika tu hali ya kawaida, Mwanamke umeolewa na una Mtoto, halafu unaweka picha hii hapa kwny WhatsApp DP, halafu ukiambiwa usiiweke unakasirika

Kama haitoshi unachat na wanaume tofauti then wanakuomba picha zako unawatumia zile hot pics...kama ni Marijali watakuacha?

Si inamaana unawatumia ili wakutongoze? Unakosa nini kwa Mumeo?
View attachment 2530168
 
Hii ndio updated ya hio inshu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…