Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I mean no malice to nobody[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiiii DC,
sweet Mangi. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I mean no malice to nobody
@Countrywide Eti ni kweli ulichapiwa? [emoji3][emoji3][emoji3]Tunatimiza miezi3 toka Nikki wa pili achapiwe yule mwanamke alokuwa anamsifu na kuturingishia kila siku
R.I.P Mr Majivuno Niki Wapili
Mkuu umeandika kitu cha msingi sanaNafikiri tufike hatua tuanzishe mtindo mpya wa kujenga familia pasipo watu kuwekana ndani, si wanaume si wanawake wote wanaiangaika kutafuta furaha nje ya ndoa.
Sasa sijui kwa nini tunazitakq hizo ndoa
Hapana mkuu. Ni jambo lililokuwa wazi sema ndo tulikuwa hatujui siku wala saa atakapokuja yule mgongaji wa ile Tandam... Joan ni kitu kikali mno.
Ana weupe wa asili sio mkorogo... demu kama yule huwa wanapenda watu wahuni wahuni tofauti na Nikki ambaye ana asili ya upole na utulivu.
Mheshimiwa wa PiliWazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu.
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Kwanza demu wa kawaida sana hana ule uzuri wa sana kwa Nikki still anaweza kupata zaidi yake wala asiwaze.
Mazingira haya ni hatar demu alipopiga CPA kali zile Top big auditing firms zote zilikuwa zinamgombania na kule watu wanashika pesa ndefu na safari za kwenda majuu..sasa jamaa yule wa weusi trip zake kweny vumbi huko pwani wenzie mara anaenda UK ,Dubai wapi na wapi🤔
Tatizo la jamaa yetu demu wa kawaida sana hana hata mzuka ila anaexaggerate sana kumsifia wengi walimkanya sana ..Mara aimbe sweet Mangi ndo hapo .
Jomba sema huna uwezo wa kumpata. Ile tandam ni kwere.Wa kawaida tu na tumiguu twake tule.
Halafu kumbuka ni Mmeru yule.
Mheshimiwa wa Pili
Hii nchi vijana ni wa hovyo,Kala maganda ya ndizi kayatupa majalalani sio mtu mzuri.
Hii nchi vijana ni wa hovyo,
Hii nchi Wazee ni wa hovyo,
Hii nchi watoto ni wa hovyo,
Aina Hii ya wananchi Wana mchango mdogo sana katika Taifa,
Na ndio maana Hii nchi haiendelei raia ni wake ni wa hovyo hovyo!
(In Mwendazake Voices)
😁😁😁