Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Mara nyingine tena??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke aanikwi kama bidhaa.. mwanamke analindwa kama mboni ya jichoSi aliamua kuyaweka hadharani,sisi tunayasitirije?
Hivi kwanini inasemekana Countrywide ndiye Nikki?
Nikki alimuanika sana ndio shidaKuanza kuishi bila ndoa hiyo ni moja ya sababu watu kuachana. Nikki haendani kabisa na ile Tandam.... cha muhimu kashaitafuna kwa miaka kadhaa awaachie wengine sasa.. muda wake ushapita.
Demu mkali halafu kipanga wa hatari kwenye uhasibu... kwa vyovyote vile ilikuwa lazima Nikki aachwe.
Uzushi tuu, kama kusema Joan ni Pisi Kali.Hivi kwanini inasemekana Countrywide ndiye Nikki?
😅😅😅 mu Israel salamaaaaHivi kwanini wabongo mnapenda sana habari mbaya mbaya za watu!!!
Jamaa alikuwa anakuja nae m.city karibia kila siku usiku.. picha lilianzia pale.. kaanza pigiwa kitambo sana sema ilikuwa kimya.. Mwanamke anatakiwa alindwe kwa gharama yoyote ileHv mshikaj alimsomesha huyu manzi
SIjui "kantriwaidi" ana hali gani huko? Je ghorofa lao watalimalizia?Jamaa unapiga kwenye mshono ujue
Hapo ndio ukute fundi Michael anakudai mil 14 na laki saba. Alafu mke kazingua inabidi mgawane Mali!!?? F.uck all stpd womenSIjui "kantriwaidi" ana hali gani huko? Je ghorofa lao watalimalizia?
Nkoyi [emoji91][emoji91][emoji91]Wasukuma hoyeeee!!
Bagheshiiiii!
Kwani ma DC wana nini sasa ? Ambao tunakolomeana nao na kuishia kututisha kutuweka ndani.. nje hapo ni 🥲🥲🥲🥲.. ndio maana watu makini huwezi waingiza mkenge kwa UDC labda wilaya za madili kama ....... nje hapo DC mweupe sanaAfu amembwaga pazuri, jamaa⁸ akiwa DC ili ionekane kaamua tyuuh, maana vingnevyo wangesema kamtema jamaa kisa hana mkwanjaa.
Kamuachaa patamuuuu.
Mada zako hiziJamaa alikuwa anakuja nae m.city karibia kila siku usiku.. picha lilianzia pale.. kaanza pigiwa kitambo sana sema ilikuwa kimya.. Mwanamke anatakiwa alindwe kwa gharama yoyote ile
Nasemaje nasemaje piga bomu la mwishooo! paaaaaaaaaaaaaa!Nasemajeeee Nasemajeee Nasemajeeee
Fanya uwezavyo Mke/Mpenzi wako wana wasimjue
Hata akigongwa fresh hawajui ni chombo ya Controla
Sasa nyie jifanyeni waanzilishi wa insta postini sana Watu wenu wake.watoto.waume
warusheni sana huko,ila ndio mkae kwa gia no 1 anytime hali ya hewa ikichafuka unchafuka kweli kweli
Kumjua Mke/Mpenzi wangu labda umtafute Mshenga wangu otherwise hata house girl wangu hamjui mke wangu!
😅😅😅 sipendi strees , acha nifurahie haya tu mzee.. maisha mafupi sanaMada zako hizi
Tunataka kuona ushahidi siyo porojo.Mwanamke ambaye hachapwi mbususu ni Mama ako tu.. wengine kuvhapwa kupo pale place
Yaa hatuchekani kwani mwanamke anachapwa na nani!!? si ni sisi hawa hawa wanaume. Sio viumbe kutoka sayari nyingine. Kifupi tunachapianaWanaume hatuchekani, hayo yanaweza mkuta yoyote hivyo omba Mungu akuepushie, dunia ina mengi