Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Oa but don't take your baby mama too serious

Kwa mtu msomi na mwenye exposure kama yeye sitegemei kama atayumbishwa na vitu vidogo kama hivi

Sema jamaa kama emotional intelligence ipo chini hivi mwaka jana au juzi alikuwa narushiana maneno na kigogo kisa huyu huyu mwanamke

Jaman wanawake hawa hamna kitu tusiwachikulie serious hivi, hata asomaje, hata ashke dini aje, anaweza kuliwa mda wowote
 
Uko na ka video tuone
46761107_362649527844039_1172305349143691264_n~2.jpg

Cc Countrywide
 
Nasemajeeee Nasemajeee Nasemajeeee

Fanya uwezavyo Mke/Mpenzi wako wana wasimjue

Hata akigongwa fresh hawajui ni chombo ya Controla

Sasa nyie jifanyeni waanzilishi wa insta postini sana Watu wenu wake.watoto.waume

warusheni sana huko,ila ndio mkae kwa gia no 1 anytime hali ya hewa ikichafuka unchafuka kweli kweli

Kumjua Mke/Mpenzi wangu labda umtafute Mshenga wangu otherwise hata house girl wangu hamjui mke wangu!
 
Back
Top Bottom