reymage njoo huku, eti unaambiwa unajibebisha Kwa shemdarling🤣🤣🤣Unamwitaje mme wa watu "sheby" hebu ita SHABANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
reymage njoo huku, eti unaambiwa unajibebisha Kwa shemdarling🤣🤣🤣Unamwitaje mme wa watu "sheby" hebu ita SHABANI
Mwamba alianza kosea mtangaza mke wake.. ni kosa kubwa sana.. na ndio yanatoka public.. mke anafichwaa mazeee... hata marafiki hawapaswi kumjua 😅Daah, kumtangazia mwanaume mwenzako mbaya umeharibu sana mazee....
Looh! InatishaWazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Picha tuoneWazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Sasa kama mnaogopa hivi...Ni mambo binafsi, msitirini mwenzenu
Kijana wa Arusha yule 😅😅😅Wanaume wengi tuna ushamba mwingi sana.
Huyo binti wa kawaida sana
Asitiriwe, Wazee wa kataa ndoa watakuja kwa kasi hapa.
Sina hulka ya kufurahia matatizo ya mwenzangu haijalishi tumekwazana vipi.
Jamaa kumpost na kumsifia mke wake watu walikuwa wanachukia sana, nickson Simon Nikki wa pili sio wa kwanza kuchapiwa alichapiwa mh wa msoga sembuse nikki!
Watanzania tukiacha hii hulka ya kufurahia matatizo ya wenzetu tutapiga hatua kimaendeleo
Kweli kabisa mkuu. Na ukiangalia wengine nao wana wakeMjini kuna mambo san. Sema hii ya mwanaume kufurahia mwanaume mwenzio kuchapiwa haijakaa poa.
Hii itakuwa mara ya piliLini tena hiyo?. Huko nyuma kidogo kama mwaka juzi hivi ilivuma pia kwamba kagongewa?
Ni suala la muda.Wanawake wakikaza wataendelea kuchukua nafasi za wanaume katika jamii.
Niki wa pili huyuWazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Hata Nikki mwenyewe alikuwa haamini kama yeye ndo mmiliki wa ile kitu.. yale maruweruwe yakamfanya awe anapost ku-prove yeye ndo mmiliki.Nikki alimuanika sana ndio shida
Haya mambo haya basi tu yasikie kwa mwenzio
Hivi kwanini wabongo mnapenda sana habari mbaya mbaya za watu!!!
Wanaume hawapendani.
Tusipende kufurahia matatizo ya watu, tunajilaani wenyewe.
Kama sio rijali ndo unaweza kumuona Joan wa kawaida.Halafu huyo kidampa mbona mnamkuza sana?
Eti "Joan ni kitu kikali mno"
Nikiona mwanaume anapapalika hivi na mwanamke, moja kwa moja najua hana uwezo wa kufika maeneo mbalimbali ya maana au anachokifanya hakimpi nafasi hiyo. Tembeeni muone, huyo joan mbona mwanamke wa kawaida sana.
Mwisho wa siku tabia ina matter kuliko huo uzuri, ukitembea utaona wazuri wengi sana ila mwisho wa siku kama unatafuta mama bora kwaajili ya watoto wako, basi hauwezi kuweka mbele zaidi muonekano wa mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaa eti unamsubiri Zamaradi.Alivyokuwa akimpost sasa aiiiiiiiiiiiiii nacheka kama mazuri. Mimi nilijuwa hawafiki popote. Ati kisa mke ana shape basi anatupuruvia😅 na alivyo mrefu sasa, Mungu mdomo koma.
Namsubiri zama kwa hamu siku wadada wakiingia mzigoni atatueleza vizuri kama kweli ile range alinunua mme. Huwezi mtundika mme kwenye mbao za matangazo posta ukabaki salama.
Masanja sasa hivi kapoa tunapumua.
Sijajua kabila lake. Kwa lile hips na shundu huenda akawa msukuma.Ile pisi ni msukuma?
Demu faking kweli.