Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Looh! Inatisha
 
Picha tuone
 
Sina hulka ya kufurahia matatizo ya mwenzangu haijalishi tumekwazana vipi.

Jamaa kumpost na kumsifia mke wake watu walikuwa wanachukia sana, nickson Simon Nikki wa pili sio wa kwanza kuchapiwa alichapiwa mh wa msoga sembuse nikki!

Watanzania tukiacha hii hulka ya kufurahia matatizo ya wenzetu tutapiga hatua kimaendeleo

Changamoto ni kwambaaa, huwa tunawaambia WASIOE ila huwa hawaelewi

#YNWA
 
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mkewa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu

Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu usimuoneshe upendo kama demu ni msukuma sawa na yule mheshimiwa crew yao si ilikuwa na bifu na washikaji wa kiwalani si unamkumbuka akina Zaid? Kwahiyo mheshimwa hali tete huko aliko kazi kwenu.
Niki wa pili huyu
 
Nikki alimuanika sana ndio shida
Hata Nikki mwenyewe alikuwa haamini kama yeye ndo mmiliki wa ile kitu.. yale maruweruwe yakamfanya awe anapost ku-prove yeye ndo mmiliki.

Hata wewe ndugu imagine toto kama Joan limekubali ulivue nguo zote ikiwemo chupi kisha uanze kuchakata mbususu na kikubwa zaidi ruksa kumwagia ndani..😋 lazima udate

Cha muhimu Nikki aelewe kuwa Joan ni ndoto ya marijali wengi kummiliki.
 
Haya mambo haya basi tu yasikie kwa mwenzio

Hivi kwanini wabongo mnapenda sana habari mbaya mbaya za watu!!!

Wanaume hawapendani.

Tusipende kufurahia matatizo ya watu, tunajilaani wenyewe.

Hakuna anayependa yawakute.
Ila tatizo tushapiga sanaa kelele ila HAWAELEWI.

Acha yawakute.

Tushawaambia msioe, mwanamke sio nduguyo.
Tumewaeleza, hii Dunia Sasa ni capitalist rule, everyone needs everything, then TAKE CARE.

Fight your battle ila mwanaume mwenzangu unakwenda kuchukua mwanamke na kumuoa.

Nini unataka zaidi ya kifo na ndio hicho sasa.

Tukiwaambia WAACHANE na NDOA wawe waelewa.

#YNWA
 
Halafu huyo kidampa mbona mnamkuza sana?

Eti "Joan ni kitu kikali mno"

Nikiona mwanaume anapapalika hivi na mwanamke, moja kwa moja najua hana uwezo wa kufika maeneo mbalimbali ya maana au anachokifanya hakimpi nafasi hiyo. Tembeeni muone, huyo joan mbona mwanamke wa kawaida sana.

Mwisho wa siku tabia ina matter kuliko huo uzuri, ukitembea utaona wazuri wengi sana ila mwisho wa siku kama unatafuta mama bora kwaajili ya watoto wako, basi hauwezi kuweka mbele zaidi muonekano wa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio rijali ndo unaweza kumuona Joan wa kawaida.
 
Alivyokuwa akimpost sasa aiiiiiiiiiiiiii nacheka kama mazuri. Mimi nilijuwa hawafiki popote. Ati kisa mke ana shape basi anatupuruvia😅 na alivyo mrefu sasa, Mungu mdomo koma.

Namsubiri zama kwa hamu siku wadada wakiingia mzigoni atatueleza vizuri kama kweli ile range alinunua mme. Huwezi mtundika mme kwenye mbao za matangazo posta ukabaki salama.

Masanja sasa hivi kapoa tunapumua.
Ha haaa eti unamsubiri Zamaradi.
Ila haya mapenzi ni bora upige kimya kuliko kujishaua kwenye mitandao. Unaweza pigwa tukio ukaishia kujinyonga bure.
 
Back
Top Bottom